Recent content by E Kimaro

  1. E Kimaro

    JamiiForums Tanzania Alichopinga Hayati Magufuli ni Ukiritimba wa watu wa Kaskazini kutaka kila kitu kizuri kiwekwe Moshi, Arusha. Alisema Kusini pia inastahili Maendeleo!

    Maendeleo kaskazini yalishafika hata kabla ya Uhuru. Hichi kitu inabidi watu wafundishwe Darasani. Ili kieleweke. Wachaga walisomesha watoto toka kabla ya uhuru na Pia walikuwa na utamaduni mzuri wakiuongozi.. Uchagani ilitambulika ka Nchi kamili. Ikiongozwa na Mangi mkuu. Walisha Janjaruka...
  2. E Kimaro

    JamiiForums Tanzania Alichopinga Hayati Magufuli ni Ukiritimba wa watu wa Kaskazini kutaka kila kitu kizuri kiwekwe Moshi, Arusha. Alisema Kusini pia inastahili Maendeleo!

    Maendeleo kaskazini yalishafika hata kabla ua Uhuru. Hichi kitu inabidi watu wafundishwe Darasani. Ili kieleweke. Wachaga walisomesha watoto na Pia walikuwa na utamaduni mzuri wakiuongozi.. Uchagani ilitambulika ka Nchi kamili. Ikiongozwa na Mangi mkuu. Walisha Janjaruka Mapema sana.Jamii nyingi...
  3. E Kimaro

    JamiiForums Tanzania Katika jambo kubwa ninalojivunia, ni kutambua kuwa hakunaga UCHAWI

    Uchawi haupo. Kama upo mtu alete ushahidi
  4. E Kimaro

    JamiiForums Tanzania Katika jambo kubwa ninalojivunia, ni kutambua kuwa hakunaga UCHAWI

    Una ushahidi?
  5. E Kimaro

    JamiiForums Tanzania Haya ndiyo maisha ya Mchaga hapa duniani na Akhera toka mwanzo wa dunia

    Kwa kweli aliona mbali sana.
  6. E Kimaro

    JamiiForums Tanzania Kanuni na historia za maisha ya Mchagga hapa duniani na ahera

    Asante kwakumuweka sawa
  7. E Kimaro

    JamiiForums Tanzania Kanuni na historia za maisha ya Mchagga hapa duniani na ahera

    Wote hao wana mambo mengi sana wanana ikiwemo lugha tofauti ni kdg kwenye matamshi.lakini pia njia za maisha wote wanafanana
  8. E Kimaro

    JamiiForums Tanzania Kanuni na historia za maisha ya Mchagga hapa duniani na ahera

    Wewe una chuki na wachagga. Kunywa maji upunguze makasiriko. Watu wanapambana kutunz utamaduni wao wewe unaleta hoja hata haieleweki. Aliyekwambia kutunza utamaduni ni kuwaza backward nani. Ukiacha utamaduni wako alafu ufate wa wani.Poor u
  9. E Kimaro

    JamiiForums Tanzania Kanuni na historia za maisha ya Mchagga hapa duniani na ahera

    Mkuu Maoni hako hayana mashiko na hayaeleweki.nikama unataka kulazimisha mtazamo wako. Makala ni nzuri sana. Ni muda sasa vijana tufanyie kazi maono ya Mababu zetu. Ni vizuri sana watoto wakifahamu lugha yao ya asili.lakini pia Kutumia majina yao ya asili. Watu wengi wameshaanza kuamka kwenye...
  10. E Kimaro

    JamiiForums Tanzania Kanuni na historia za maisha ya Mchagga hapa duniani na ahera

    Makala nzuri sana sana.Haya mambo yalipaswa kufundishwa Hata Darasani. Hongera sana kwa Wachagga kwa hili.Historia imetunzwa vizuri sana. Ni muda sasa vijana tufanyie kazi maono ya Wazee au Mababi zetu.
  11. E Kimaro

    JamiiForums Tanzania Fundi welding aliyesoma VETA anapatikana

    Habari. Namiliki Workshop ya Welding, Soon ntaongeza Section ya Woodwork. Nahitaji Fundi wakufanya nae Kazi kwa ajili yakusimamia Workshop yakutengeneza Furniture za Chuma na Mbao za Kisasa. Awe amesoma Veta kwa Ngazi yoyote ile. Umri usizidi miaka 25 0713946752
  12. E Kimaro

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya tatizo la TV yangu.

    Nami nasubiria Ushauri na yangu ipo hivyo.
  13. E Kimaro

    JamiiForums Tanzania Nitatumiaje Gari langu Private kujiongezea Kipato?

    Asante Mdau
  14. E Kimaro

    JamiiForums Tanzania Nitatumiaje Gari langu Private kujiongezea Kipato?

    Haha. Kuuza hapana bana. Halina hata miezi miwili Tz
  15. E Kimaro

    JamiiForums Tanzania Nitatumiaje Gari langu Private kujiongezea Kipato?

    Daladala mfuko hauruhusu.
Back
Top Bottom