Kanuni na historia za maisha ya Mchagga hapa duniani na ahera

Sawa sawa , so tell people to stop thinking backward like we Chagga or my tribe , tell them to think as a national.
Wewe una chuki na wachagga. Kunywa maji upunguze makasiriko. Watu wanapambana kutunz utamaduni wao wewe unaleta hoja hata haieleweki. Aliyekwambia kutunza utamaduni ni kuwaza backward nani. Ukiacha utamaduni wako alafu ufate wa wani.Poor u
 
Mchaga yupi sasa huyo wa Marangu, Kibosho, Machame au Rombo? Kwa maana nijuavyo mimi ote hao ni watu tofauti!
Wote hao wana mambo mengi sana wanana ikiwemo lugha tofauti ni kdg kwenye matamshi.lakini pia njia za maisha wote wanafanana
 
Makabila Tanzania bado yana nguvu kubwa hata kama haionekani wazi. Utaiona kwenye matendo na maneno ya watu. silimia 99 ya watanzania bado wanaweza kujitambulisha na kabila pande zote za wazazi wao, tofauti na picha unayotaka kulazimisha ya utaifa ambao utachukua miaka mingi sana kuufikia.
Nguvu za makabila siyo lazima ziwe mbaya. Tusikaririshwe hapa. Makabila na tamaduni zao ni jambo zuri na la kujivunia.
Asante kwakumuweka sawa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom