Recent content by Dzaka53

  1. D

    Ni mchezo unapangwa CCM na Mkurugenzi wa Ilala wala si uchaguzi

    Wanabodi,nimemuona mkurugenzi wa manispaa ya Ilala bwana mungurimi akiwa na mwanasheria wa manispaa hiyo wakidai Wana zuio la mahakama,ukweli ni kwamba wanatafuta kila njia waibebe ccm hata kwa kuwatumia polisi na huku mahakama imitumika kama ngazi tu. Hawa waliisha kula nyama ya watu kamwe...
  2. D

    Morogoro: Watu watatu wafariki katika mapambano na Polisi, wawili wanasadikiwa kuwa Al Shabaab

    Wana JF nadhani mnakumbuka vema kukamatwa watu wanaotuhumiwa kuwa ni magaidi huko mkoani Morogoro mara tatu tena wakiwa na silaha za kivita. Mbona jeshi letu machachari la polisi lipo kimya kuhusu hao magaidi wa ukweli?. Mimi binafsi ningefurahi kama jeshi letu la polisi lingekuwa...
  3. D

    Lowassa amtisha Rais Kikwete

    Wanabodi tumekuwa mara kwa mara tukisikia kuwa mh. Edward Lowassa akichaguliwa kuwa rais wa nchi hii atalipiza visasi kwa uongozi wa kikwete,je ni kweli kwamba hofu hiyo ya uongozi wa kikwete ni wa kweli? kama ni kweli basi wanajua kuwa hawakumtendea haki mh. Lowassa na hasa sakata la...
  4. D

    Mnyukano mkubwa Ofisi ya Rais: Sefue vs Hosea

    Wanabodi ktk magazeti ya leo tar 18-5-2015,kuna taarifa ndefu toka kwa mkurugenzi wa takukuru bw Edward Hosea akidai eti takukuru bado wanachunguza wizi wa fedha za tegeta escrow. Ukweli ni kuwa hakuna uchunguzi unaoendelea hapo,pamoja kwamba Dr Hosea anajitahidi sana kupambana na wizi ktk...
  5. D

    Freeman Mbowe awasili kituo kikuu cha Mabasi Ubungo na kulakiwa kwa shangwe kubwa

    Wanabodi,ktk magazeti ya leo hasa gazeti la mwananchi toleo la leo kuna kuna kichwa cha habari. "WAHOJI MBOWE KWENDA UBUNGO" Hivi kweli hawa wanaoitwa wasomi haya maoni yao huyatoa kuzingatia usomi wao au kuzingatia itikadi za vyama wanavyoviunga mkono.Mwingine kadai "MH MBOWE kaenda ubungo...
  6. D

    Ugaidi na nchini na kauli ya jeshi letu la polisi

    Wanajamvi, sasa ni dhahiri kabisa kuna mtandao wa ugaidi hapa nchini.Lakini mbona jeshi letu la polisi halionyeshi dhamira na ukakamavu kama ule wakati wanawashugulikia akina Lwakatare wa chadema?Sote tunajua wazi kuwa ile picha ililenga kuwaminisha kuwa chadema kuna magaidi ilitungwa ili...
  7. D

    Dr. Mengi Ashtushwa na taarifa za kuiangusha serikali ya Kikwete

    Wanabodi, Kuna mnyukano mkubwa ndani ya CCM na serikali yake,ufisadi,wizi na ubadhirifu wa mali ya umma mnafanya wenyewe mkibainika kwa ufisadi wenu mtasikia mara oh Mengi anataka kuipindua serikali. Hivi Mengi ndiyo aliyewatuma mgawane fedha za Tegeta escrow,fedha za EPA,kusafirisha Twiga...
  8. D

    Sakata la Gwajima: Serikali inapoamua kukumaliza

    wanabodi hakika nimejikuta nashangaa kusikia polisi wa kanda maalumu chini kova wakihoji uhalali wa kanisa la ufufuo na uzima linaloongozwa na askofu gwijima,kwamba utajiri alionao kaupataje.Ni polisi haohao ambapo kuna matukio makubwa yanayohusu wizi wa mali za umma yakihusisha viongozi wa...
  9. D

    Mkweli ni yupi Kikwete au ni Pinda na Makinda na bunge lao?

    Wana jf. Tumeshuhudia mkanganyiko wa viongozi kuhusu mahakama ya kadhi, Rais kasema serkali haitajihusisha na mahakama hiyo,anaruka kwenda usa masaju na pinda waandaa msuada wa mahakama ya kadhi ili uwasilishwe bungeni. Hivi hii ni serikali ya namna gani jamani? Rais kikwete awe makini na baadhi...
  10. D

    Sasa tunashuhudia miswaada ya sheria yenye utata ikipelekwa bungeni kulikoni? W

    Wanajamvi ni muda mrefu sheria nyingi wananchi wamezilalamikia kuwa hazina manufaa kwa taifa lakini utawala huu wa kikwete hawakutaka kusikia mfano mikataba ya madini, misamaha ya kodi kwa wanoitwa wawekezaji, deni la taifa na mengineyo mengi. Baada kunufaika na mfumo huo wa wizi na...
  11. D

    Kwa nini jeshi la polisi lilinde maovu ya ccm kwa gharama ya kuangamiza wananchi??

    kumetokea wizi mkubwa wa fedha za tegeta escrow wezi ni viongozi wa ngazi za juu wa chama cha ccm na serikali yake,hatujawahi kusikia kauli wala hatua kuchukuliwa na jeshi la polisi. waliokamatwa na kufikishwa mahakamani ni makarani wa taasisi mbalimbali lakini wachonga dili jeshi la polisi lipo...
  12. D

    Sakata la Escrow: Kigogo wa Ikulu (Shaaban Gurumo) ahojiwa na Baraza la Maadili

    Hapo mwanzo kulikua na bwana mmoja kwa jina MRISHO GAMBO wa huko bagamoyo,ktk kikao chao cha uvccm wilaya ya bagamoyo alitoka na tamko baya sana namnukuu{rais ajae hawezi kutoka mikoa ya kaskazini}Kwa kifupi alisema maneno mengi yasiyofaa hatukuwahi kusikia kauli ya chama kukemea uhuni ule...
  13. D

    Ama kweli CCM ni nambari wani

    wanajamvi nimekuwa nafuatilia ziara ya waziri magufuli ya ukaguzi wa barabara mikoani na matamshi anayoyatoa kwa wananchi juu gharama ya ujenzi wa barabara hizo,mh magufuli bila hata aibu huku akijua anawadanganya wananchi kuwa barabara hizo zinajengwa na ccm,huku akijua kuwa ni fedha...
  14. D

    Paul Makonda afunguka

    wandugu hivi kweli kwa matendo ya kihawani aliyoyatenda huyu makonda anastahili kupewa uongozi wa serikali? sasa nimeapata jibu matendo ya makonda ni maelekezo aliyopewa na uongozi wa juu wa serikali na ccm. aliyemteua na aliyemtangaza kuwa DC ni wahusika wa vitendo vya makonda. rais kikwete kwa...
  15. D

    Naenda mahakamani kufungua kesi dhidi ya viongozi waliopora nyumba za umma

    Wanajamvi rejea somo hilo hapo juu. Nimewaza,nimetafakari na sasa nimeamua kuwasiliana na mawakili kuangalia namna ya kuwafungulia mashtaka viongozi wa awamu ya tatu na awamu hii ya nne kwa kujimilikisha nyumba za umma. Hawa ndiyo nitaiomba mahakama iwaite mahakamani kujibu tuhuma hizi. A)...
Back
Top Bottom