Ugaidi na nchini na kauli ya jeshi letu la polisi

Dzaka53

Member
Joined
Dec 25, 2014
Posts
26
Reaction score
7
Wanajamvi, sasa ni dhahiri kabisa kuna mtandao wa ugaidi hapa nchini.Lakini mbona jeshi letu la polisi halionyeshi dhamira na ukakamavu kama ule wakati wanawashugulikia akina Lwakatare wa chadema?Sote tunajua wazi kuwa ile picha ililenga kuwaminisha kuwa chadema kuna magaidi ilitungwa ili kuisambaratisha chadema sasa tuna ugaidi wa kweli wala si wa kurekodiwa ktk mitandao kama ule wa chadema.Je magaidi waliokamatwa Tanga ni akina nani na wako wapi je majina yao bado ni siri ya polisi?majuzi wamekamatwa watu wakiwa na milipuko mkoani morogoro tumeona viongozi wa jeshi la polisi wakirushiana mpira mahali walipo makao makuu wanasema aulizwe RPC wa morogoro,RPC wa morogoro anasema waulizwe makao makuu ya polisi.Hadi sasa hakuna ajuae hao watu ni wa wapi wala majina yao hivi hii siri ya polisi ktk jambo zito kama hili inaashiria nini? Haya magaidi jana wamejeruhi watu huko kilombero.Ugaidi wa kweli sasa upo ndani kwetu ule ugaidi wa kupangwa na wanasiasa kwa manufaa ya chama fulani hauna nafasi.Wapi CHAGONJA,wapi KOVA???Muda wa kujadili cha ACT na ZITO sasa basi wanaJF nawasilisha.
 
Hawa polisi wetu hawana taaluma ya kazi zao.wananjaa zaidi ya mchwa.na ndo maana hata sare zao Ni za kaka ili kuokoa sabuni,upande wa usalama barabarani wakapewa nyeupe maana hao ndo wanahela
 
Wanajamvi, sasa ni dhahiri kabisa kuna mtandao wa ugaidi hapa nchini.Lakini mbona jeshi letu la polisi halionyeshi dhamira na ukakamavu kama ule wakati wanawashugulikia akina Lwakatare wa chadema?Sote tunajua wazi kuwa ile picha ililenga kuwaminisha kuwa chadema kuna magaidi ilitungwa ili kuisambaratisha chadema sasa tuna ugaidi wa kweli wala si wa kurekodiwa ktk mitandao kama ule wa chadema.Je magaidi waliokamatwa Tanga ni akina nani na wako wapi je majina yao bado ni siri ya polisi?majuzi wamekamatwa watu wakiwa na milipuko mkoani morogoro tumeona viongozi wa jeshi la polisi wakirushiana mpira mahali walipo makao makuu wanasema aulizwe RPC wa morogoro,RPC wa morogoro anasema waulizwe makao makuu ya polisi.Hadi sasa hakuna ajuae hao watu ni wa wapi wala majina yao hivi hii siri ya polisi ktk jambo zito kama hili inaashiria nini? Haya magaidi jana wamejeruhi watu huko kilombero.Ugaidi wa kweli sasa upo ndani kwetu ule ugaidi wa kupangwa na wanasiasa kwa manufaa ya chama fulani hauna nafasi.Wapi CHAGONJA,wapi KOVA???Muda wa kujadili cha ACT na ZITO sasa basi wanaJF nawasilisha.

Definition ya ugaidi:
UGAIDI ni njama mpya wa kuwabamiza watu wa dini fulani, mara nyingi waislamu.

Kwa kutumia definition hio utagundua masheikh wengi (e.g UAMSHO, sheikh Ponda n.k) wengi wanasota jela bila ya sababu za msingi. Hii pengine inawafanya jeshi la polisi lijione limamliza kazi ... maana masheikh wote tayari wako ndani!
 
Polisi wetu hawakujipanga kuudhibiti huu uhaini. Ni ugaidi kabisa lakini kwa kuwa walikuwa wanajitungia wa kwao, sasa limewafika hivyo hawajui wafanye nini.
Wanajua kubambikizia watu visu na manati lakini anapokuja huyo wa ukweli ndiyo jasho linakutoka. Uliye mbambikizia anakuwa hana hofu ya kupelekwa kituoni ila huyo mkweli anajua ama zake ama zako. Polisi Chagonja hakuwafunza hayo.
Lazima warudi tena CCP kufunzwa mbinu ya kukabiliana na hao magaidi. Mbona mnaamuru madereva warudi vyuoni, nyie pia rudini vyuoni
 
Definition ya ugaidi:
UGAIDI ni njama mpya wa kuwabamiza watu wa dini fulani, mara nyingi waislamu.

Kwa kutumia definition hio utagundua masheikh wengi (e.g UAMSHO, sheikh Ponda n.k) wengi wanasota jela bila ya sababu za msingi. Hii pengine inawafanya jeshi la polisi lijione limamliza kazi ... maana masheikh wote tayari wako ndani!
Mkuu hata ufanyeje ugaidi na na dini hiyo huwezi kuvitenganisha kamwe, na ndio wale wale. Sasa unapokamata watu wakiwa na milipuko ndani ya msikiti, hapo unasemaje? na hao wenye dini hiyo wakisikia tukio la kigaidi limetokea sehemu fulani wengi wao huwaita hao magaidi kuwa ni wanaume wa shoka! wakristo wanapigwa risasi dini yao wanaachwa halafu bila aibu unasema kuwa eti ni njama za kuwabamiza watu fulani!! kipindi kile OSAMA anafanya mauaji ya kutisha ndio alikuwa anaonekana SHUJAA WAO! we tafuta CD, zao na wao huwa wanawapandikiza chuki tangu watoto wakiwa wadogo kwenye madrasa, kuwa mtu asiye dini yao wamuone kama mnyama tu, Na kwa taarifa yako mkoa wa morogoro ndiko kuna hao wazee wa vipedo, ndio huwaambii kitu hao, wenye misimamo mikali, sio dini nzima wako hivyo kuna wengine wanafundishwa ila wakichanganya na zao wanaona hapana hakuna mungu anayekubali umfanyie hivi binadamu mwenzako, ila kuna wale wanaomeza bila ku digest, ndio shida na bahati mbaya ndio wengi sasa, Maeneo ya mkuranga kuna kanisa la walokole haliko mbali sana na msikiti, sasa siku moja walikuwa na mkesha wakawa wanaimba, mala wakaja wakawambia mnatupigia kelele kule ndani hatusikilizani! kumbe siku hiyo kile kipaza sauti chao kilikuwa kibovu!! wale walokole wakasema mbona siku zote mnapotumia kile kipaza sauti huku kote ni shida lakini tunavumiliana tu, iweje leo tu? e bwana yule mchungaji alijikuta chini mateke na kutaka kuchoma lile kanisa tena lilikuwa la makuti tu,halafu huwa wanajifunza karate, ndio akatokea mzee mmoja mwenye busara akawambia sio vizuri. wakaondoka. sasa uje uwatofautishe na ugaidi hawa. Tuseme ukweli hawa ndio wenyewe tu. Nani hajui mafundisho ya shehe ROGO?, MI NAMKUBALI SANA SHEHE KIPOZEO, yeye hana mambo haya ye mada yake kuu ni MADEMU, EEE MADEMU.
 
wale wa tanga hawakushikwa badala take walishikwa wawindaji walichoka wakaitwa magaidi.Tanzania hatuna jeshi lenye wataalamu badala yake wameja polish ccm.wao wanaweza intellijensia za maandamano ya chadema na CAF
 
Wanajamvi, sasa ni dhahiri kabisa kuna mtandao wa ugaidi hapa nchini.Lakini mbona jeshi letu la polisi halionyeshi dhamira na ukakamavu kama ule wakati wanawashugulikia akina Lwakatare wa chadema?Sote tunajua wazi kuwa ile picha ililenga kuwaminisha kuwa chadema kuna magaidi ilitungwa ili kuisambaratisha chadema sasa tuna ugaidi wa kweli wala si wa kurekodiwa ktk mitandao kama ule wa chadema.Je magaidi waliokamatwa Tanga ni akina nani na wako wapi je majina yao bado ni siri ya polisi?majuzi wamekamatwa watu wakiwa na milipuko mkoani morogoro tumeona viongozi wa jeshi la polisi wakirushiana mpira mahali walipo makao makuu wanasema aulizwe RPC wa morogoro,RPC wa morogoro anasema waulizwe makao makuu ya polisi.Hadi sasa hakuna ajuae hao watu ni wa wapi wala majina yao hivi hii siri ya polisi ktk jambo zito kama hili inaashiria nini? Haya magaidi jana wamejeruhi watu huko kilombero.Ugaidi wa kweli sasa upo ndani kwetu ule ugaidi wa kupangwa na wanasiasa kwa manufaa ya chama fulani hauna nafasi.Wapi CHAGONJA,wapi KOVA???Muda wa kujadili cha ACT na ZITO sasa basi wanaJF nawasilisha.

Ule wa Lwakatare ulikuwa ni mchezo wa Kisiasa ndio maana Polisi walikuwa wanacheza na Media.Huu wa sasa ni Ugaidi wa Ukweli ndio maana vyombo vya Usalama vimekuwa vikiwahoji kwa umakini wa hali ya Juu ili wawataje na wenzao waliosambaa mpaka kwenye Mitandao ya Kijamii.
 
Definition ya ugaidi:
UGAIDI ni njama mpya wa kuwabamiza watu wa dini fulani, mara nyingi waislamu.

Kwa kutumia definition hio utagundua masheikh wengi (e.g UAMSHO, sheikh Ponda n.k) wengi wanasota jela bila ya sababu za msingi. Hii pengine inawafanya jeshi la polisi lijione limamliza kazi ... maana masheikh wote tayari wako ndani!

Kama tunadhamira ya dhati ya kupambana na Ugaidi lazima tukubali uhusika na Baadhi ya Dini.Tukikataa kwamba baadhi ya Dini hazihusiki tutakuwa tumemkosa Gaidi.Mambo ya kuwafumbia macho Magaidi kwa kigezo kwamba ni wenzetu katika Imani kitatuangamiza.
 
Back
Top Bottom