Wanabodi,nimemuona mkurugenzi wa manispaa ya Ilala bwana mungurimi akiwa na mwanasheria wa manispaa hiyo wakidai Wana zuio la mahakama,ukweli ni kwamba wanatafuta kila njia waibebe ccm hata kwa kuwatumia polisi na huku mahakama imitumika kama ngazi tu. Hawa waliisha kula nyama ya watu kamwe hawawezi Kuacha uhuni wao subiri muons walivyokosa haya.