Recent content by dxdiag

  1. D

    JamiiForums Tanzania 20m itanifikisha wapi katika ujenzi wakuu?

    Kama hauna familia kwanini usijenge chumba na sebule ukahamia kwanza? Kwa uzoefu wangu nyumba vyumba vitatu vya kulala+ choo na sebule , kupaua tu lazima ulaze sio chini ya mil 6 kwa bati za kawaida. Maana yake ukikaza saana iyo 17 mil unaweza pandisha boma na kupaua tu.
  2. D

    JamiiForums Tanzania Nishaurini nichague yupi kati ya hawa. Niko njia panda

    kijana, hatuoi tako wala sura. Sifa ya kwanza ya mke je ni ana hofu ya Mungu? ana huruma na wewe? akishakuwa na hivyo viwili then unaweza angalia hayo mengine ya maumbile. Achana na single mother ingali wewe huna mtoto/hukuwahi kuoa.
  3. D

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kumbe Mo Dewji analipa TZS 4,000 watu kwenye kampuni yake

    Kwahiyo ni kosa la Mo kulipa hivyo? Unajua serikali yako inasema kima cha chini cha mshahara sekta binafsi ni sh ngapi?
  4. D

    JamiiForums Tanzania Swali kwa waliooa tu: Mlipataje wanawake wa kuoa?

    Kuna standard ya wanawake ulishajiwekea akilini mwako, na ndio hao wanakutesa. Wake zetu tunapishana nao barabarani lakini hatuwazingatii. Njia rahisi kabisa ambayo inaweza kukusaidia, kama una dada au ndugu wa kike unayependa tabia zake basi fanya naye urafiki uwe unamtoa out kwa sharti aje na...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Naumaliza mwaka Kwa machungu ya kuachana na mwanaume wangu niliyempenda sana

    Hapo kuna mawili, 1. anakutest kama alishafikia mpaka hatua ya kukuoa 2. Anakupa silent treatment ili ujiongeze mwenyewe maana hataki kukwambia hakutaki. Hii ya silent treatment inaumiza vibaya na nikupe tu pole maana ulishazama. Nikushauri tu, jijali zaidi jitoe out.. vaa pendeza, kula vyakula...
  6. D

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Wananchi hawajajitokeza kujiandikisha ktk daftari

    Wanachama wa ccm wanajua wapige kura ama wasipige watashinda, wanachama wa upinzani wanajua hata wakipiga kura kuwachagua viongozi wao wa upinzani hawawezi kutangazwa kushinda. Sasa nani ataenda kupiga kura? Yani kwa nini ukapige kura wakati matokeo unayajua yatakuaje... Ni kupoteza muda tu
  7. D

    JamiiForums Tanzania Nilipata maambukizi ya 'gono' wiki chache zilizopita, nimetumia dawa ila zimedunda. Naombeni mawazo yenu

    Hayo magonjwa dalili zinafanana fanana, ungetumia na dawa za fungus pia kwa pamoja
  8. D

    JamiiForums Tanzania Nilipata maambukizi ya 'gono' wiki chache zilizopita, nimetumia dawa ila zimedunda. Naombeni mawazo yenu

    Ulipimwa ukaambiwa ni gono? Usikute umevamia mi-fungus ukahisi ni gono
  9. D

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Nipo Tanga mkuu
  10. D

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Hivi bado zipo madukani hizi? Nilitafuta bila mafanikio
  11. D

    JamiiForums Tanzania Polisi yapiga marufuku maandamo ya kupinga kukamatwa sheikh Ponda kesho

    hata wananchi wa katavi wakiandamana wapigwe tu...
  12. D

    JamiiForums Tanzania uhusiano kati ya mtu kula nyama na kutokwa damu puani

    habari wanaJF! Kuna tatizo hili inawezekana linakutokea au limemtokea mtu wa karibu yako. Unakuta mtu akila tu nyama au baadhi ya samaki basi anatokwa na damu puani,je tatizo hili linasababishwa na nini hasa? Ahsanten!
Back
Top Bottom