uhusiano kati ya mtu kula nyama na kutokwa damu puani

dxdiag

New Member
Aug 14, 2013
4
2
habari wanaJF!

Kuna tatizo hili inawezekana linakutokea au limemtokea mtu wa karibu yako. Unakuta mtu akila tu nyama au baadhi ya samaki basi anatokwa na damu puani,je tatizo hili linasababishwa na nini hasa?

Ahsanten!
 
Mkuu.@dxdiag Nenda ..Hospitali kamuone Daktari ili akupime ili apate kujuwa una Maradhi gani? Isije kuwa una allergy ya vyakula vya aina fulani fulani.Ukila baadhi ya vyakula vinakudhuru.
 
Back
Top Bottom