Recent content by duve

  1. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Single mothers msife moyo, hakuna chenye thamani zaidi ya mtoto wako

    Being a single parent sio kitu ambacho mtu anaplan , hakuna mwanamke ambaye anabeba mimba kwa lengo La kuja kulea mtoto peke yake. Zipo sababu tofauti kwa kila mzazi anayelea mtoto peke yake mfano, mwenza amefariki, domestic violence, mapenzi yamekwisha hakuna maelewano kati hao wenzi n.k Hivyo...
  2. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama wanawake wanajiremba kwa ajili yetu wanaume kwanini mnatukataa tukiwatongoza?

    Kila mwanamke anavyo vigezo vyake when it comes to a choice of a man, hivyo sio kila utakayemtongoza ww atakukubali tu ,no.
  3. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke kuamua kumbebea mimba mwanaume je ni kwa sababu ...

    Yote yaweza kuwa majibu kulingana na malengo ya mtu.Na ww mwanaume unapofanya mapenzi na mwanamke asiye mkeo bila kinga wategemea nini
  4. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nawapenda sana madktari wa kiume na manes wa kiume

    Unawapenda vipi?
  5. D

    JamiiForums Tanzania Happy birthday Mange Kimambi

    Happy birthday kubwa LA maadui
  6. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahusiano vs mawasiliano

    Hakuna mapenzi hapo, stuka
  7. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Weekend Story! DESPERATE!

    Pastor hafai
  8. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mama: Mwanangu ukioa usimuoe mwanamke wa namna hii!!

    Kikubwa ni Upendo na kuelewana, hayo sijui same career, kipato, kabila nk hayana maana true love inapokuwepo .
  9. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Komando kitambi umeuthibitishia umma obesity haiathiri performance

    Kitambi sio kizuri Kwa afya, acheni kupeana moyo
  10. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unawezaje kuvumilia hii?

    Sidhani kama kuna mwanamke anapenda kuongezewa mwenzake hata kama hawataishi nyumba moja,ni ngumu sana,,
  11. D

    JamiiForums Tanzania Anti Bilali: Huu Ushoga wangu nilirogwa, mwenye dawa anisaidie

    Mmmh mtu kurogwa kuwa shoga makubwa , kikubwa amrudie mungu wake
  12. D

    JamiiForums Tanzania Vanessa Mdee alistahili tuzo ya mwanamziki bora wa kike

    Huwezi mfananisha Jide na Vanessa, j ide no nyingine hata huyo cash madame mwenyewe analijua hilo
  13. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini wengi wa wanawake wenye sura zisizo endelevu huwa na mzigo wa haja?

    Mungu hakupi vyote
Back
Top Bottom