Recent content by Duvan Z

  1. Duvan Z

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Magufuli jimbo la Vunjo: Lyatonga Mrema aungana na CCM kwenye kampeni

    Mrema anajua wazi kwamba hawezi shinda, ana mawazo tele
  2. Duvan Z

    JamiiForums Tanzania Ogopeni kusoma kombi dhaifu

    Hawajielewi cha msingi kila mtu na matarajio yake na sio kudanganyana kwani kila mtu anasababu za kumfanya afanye jambo na kuacha jambo huwezi jua mana uwezo kiujumla tunatofautiana. Mwisho.
  3. Duvan Z

    JamiiForums Tanzania Hivi ukitoboa dunia katikati, upande mmoja hadi mwingine, ukidondoka unaishia wapi?

    Hutaishia popote kwa sababu fg itakuwa ni sifuri kwenye centre. Pamoja sana..
  4. Duvan Z

    JamiiForums Tanzania Matokeo Kidato cha Sita yatangazwa rasmi

    Pamoja sana!
  5. Duvan Z

    JamiiForums Tanzania Kwa waliokosa nafasi za kujiunga na kidato cha tano 2014 ,serikali inawaita huku.

    Yote maisha ila hao wenye matonge wanatutesa sana wasakatonge ila One Day Yes watalipwa mmoja mmoja kwa wanayotufanyia kwani mwisho wa ubaya ni aibu.
  6. Duvan Z

    JamiiForums Tanzania Kwa waliokosa nafasi za kujiunga na kidato cha tano 2014 ,serikali inawaita huku.

    Duh,majanga matupu hayo inamana three ya 2004 ni sawa na three ya 2013?
  7. Duvan Z

    JamiiForums Tanzania Kwa anaye ifahamu kisiwani secondary-same!

    Wanakaa bweni mwambie aje kama alivyoelekezwa hapo juu..
  8. Duvan Z

    JamiiForums Tanzania Kuhusu selection za form five 2014

    Nyie kuweni na subira wadogo zangu.
  9. Duvan Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TANZIA: Mwana JF mwenzetu Jeska amefiwa na mama yake mzazi huko Bukoba

    Hiyo ndio njia yetu sote kwani kila kilichozaliwa ni chenye kufa yeye katangulia nasi tutamfata. Pole sana.
  10. Duvan Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamani hivi kwa nini baadhi ya wanyama hawamuogopi mwanamke??

    > > > Hahahaaaa,umewahi kujiuliza kwa nn kuna usemi,"Mwanamke akiwezeshwa anawezaa."
  11. Duvan Z

    JamiiForums Tanzania Proud to be Tanzanian. Shame on you ....!

    Nothing to be proud here where most of the people are being employed in the lower sectors only.
Back
Top Bottom