Recent content by dustpan

  1. D

    JamiiForums Tanzania Dodoma kwawaka Moto: Sendeka ageuka Mbogo

    Shangaa na wewe!
  2. D

    JamiiForums Tanzania Dodoma kwawaka Moto: Sendeka ageuka Mbogo

    Jamani radio gani inarusha matangazo kutoka bungeni
  3. D

    JamiiForums Tanzania Dhana ya kubemenda mtoto: Mitazamo, Ufafanuzi na Ushauri

    Hakuna nini wala nn! Kubemenda ndo kitu gani! Hizo mambo hazipo!!! Mpe lishe nzuri, mtunze vizuri.
  4. D

    JamiiForums Tanzania Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

    Kweli unaweza ukampata mwanamke umtakaye lakini asiye na mapenzi ya dhati
  5. D

    JamiiForums Tanzania Nahisi simpendi mke wangu

    Mm naonea watoto huruma! Lkn kuachana pia ni jambo la msingi! Mbona wanawake wazuri wapo na watakutunzia watoto vizuri tu! Ana mambo mabaya yote, mtu mwenyewe hafanyi kazi analeta dharau! Wapo wanawake kibao wanatafuta mume wa mf wako na wanalia kila siku yy hawazi hilo? Tena usije ukalikoroga...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya dawa ya meno haya hapa

    Mhhhhhhhhhh!
  7. D

    JamiiForums Tanzania Nahitaji rafiki wa Kike, nimechoka maisha ya upweke

    U sound like my man, tume break last two weeks, naona kama ndo upweke ameamua kutafuta wa kumliwaza!! Loh, nasikia wivu nusu nimpigie simu! NAMI MPWEKE
Back
Top Bottom