Dhana ya kubemenda mtoto: Mitazamo, Ufafanuzi na Ushauri

Hakuna nini wala nn! Kubemenda ndo kitu gani! Hizo mambo hazipo!!! Mpe lishe nzuri, mtunze vizuri.
 
Hakuna kitu kama hicho jamani
Mm nime experience kwa mwanangu mwenyewe, nilikuwa naenda kugonga nje narudi namshika mwanangu lakina mpaka leo hii nazungumza ana miaka miwili afya njema anaongea kama wa miaka mitatu.

We ni jasiri sana dah
 
mtoto huwa hapendi uchafu hivyo hata kama ukifanya na baba yake mzazi ile mikono yenu mmeshikana maeneo yenu yamelowa uchafu uleeee yale,majasho pia humfanya mtoto kupata madhara. hivyo ni vyema unapofanya hakikisha unajiswaafi vizur ndo umshike mtoto usiku kabla hamjalala chemsha maji weka kwenye thermos ili iwe rahisi kuyatumia.
NB. watu wanazusha kuwa asiye baba yake ndo anamharibu kwasababu . siku zote mtu anapopata mpenzi mpya hutumia mda mwingi kuwa karibu naye hivyo anaweza hata kujisahau kupata muda wakutosha kumtunza mtoto kama mnavyojua mtoto mdogo kabla hajatembea anahitaji kujaliwa kwa ukaribu sana.
Naomba kuwasilisha
 
Mmmmm wafrika banaa ni nomaa, kila kitu kwao ni tabu yaani kila kitu kinatafutiwa 7bu kama kuwakata watoto vilimi kisa eti ndio maana anakonda na kukooa kuutwa, ujakaa sawa meno ya plastiki,ujakaa vemaa kukeketa wakike eti heshima,akibaki nayo ni uchafu nk. Acheni hizo misemo ya hizo mambo ambayo si kweli hata kitaalam. Hata kama mkisema niko out of topic it fine!
 
Hakuna kitu kama hicho jamani
Mm nime experience kwa mwanangu mwenyewe, nilikuwa naenda kugonga nje narudi namshika mwanangu lakina mpaka leo hii nazungumza ana miaka miwili afya njema anaongea kama wa miaka mitatu.

Taifa linahitaji watu kama hawa
 
hii kitu ipo kweli au ni imani yetu waafrika.Na kama inatambulika kisayansi Kubemenda kunaitwaje kwa kingereza?
 
Back
Top Bottom