Habari wadau.
Nahitaji kuwa na mashine ya kusaga sembe mkoani Ruvuma kisha niwe nasafirisha na kuuza maeneo ya Tunduru, Masasi hadi Mtwara.
Naomba mwenye uzoefu anipatie.
Ruvuma nimeishi ila Tunduru kuelekea Mtwara si mwenyeji
Hao watu kwenye kukata wapo vizuri ila linapokuja suala la kutoa fedha ni kizungumkuti. Sasa wanawapangiaje watu Matumizi. Mtu ameacha kazi anataka fedha ili ajiajiri wao wanazuia. 😭😭
Haiwezekani kuwaacha lazima wazongwezongwe Hadi wajifiche huko,. Ikiwezezekana wapigwe maweee!!! Mwenyezimungu anusuru vizazi vyetu na atuepushe na mitihani kama hiyo
Kiufupi Kila mtu anachaguo lake, Yani polepole chaguo lake ni magufuri "japo wengine Hadi kesho hawataki hata kumsikia". Na wengine chaguo lao ni Samia nao huwaambii kitu. Kwahyo sioni jipya Kwa polepole na mwisho wa siku atarudi tena ndani ya CCM na maisha yataendelea. Wanasiasa ndivyo walivyo
Au alitaka abaki ktk nyadhifa za wafanyao mamuzi ila nafasi hiyo hakupewa,. hivyo ni kama vile wasemavyo "mwaga mboga, namwaga ugali". Hana jipya bali anajifariji tuuu. Au anataka utawala umfikirie Kwa kumpa kipande Cha keki Kwa bahati mbaya hawamjali Kwa chochote bas anabaki kuuunganisha story...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.