Recent content by dungadunga

  1. D

    JamiiForums Tanzania Kupimisha Kiwanja na kupata offer...

    Ameniambia uo mchoro bado haujapitishwa na mkurugenzi wa halmashauri. Na iyo open space anaweza akaamisha kwa mwingine. Nyumba ndio naifanyia finishing
  2. D

    JamiiForums Tanzania Kupimisha Kiwanja na kupata offer...

    Mimi naomba kuuliza ma surveyor. Kuna eneo langu nilitaka kulipima na nimwashajenga. Ila baada ya kuchukua vipimo linaonyesha lipo kwenye OPEN SPACE. Niliongea na surveyor akanambia kuliondoa kwenye open space inawezekana ila ni gharama kubwa. Je ilo swala linawezekana?
  3. D

    JamiiForums Tanzania Uliza swali lolote kuhusu chuo cha MUCCOBS hapa ujibiwe

    wewe ulisoma stream gani hapo muccobs ?
  4. D

    JamiiForums Tanzania Tetesi kuhusu chuma ulete

    hamna zilikuwa kwenye Wallet zingedondoka zote
  5. D

    JamiiForums Tanzania Tetesi kuhusu chuma ulete

    Acheni nizimalizie huku baa zote zimeshaingia mkosi
  6. D

    JamiiForums Tanzania Tetesi kuhusu chuma ulete

    wewe kama unakiu uje nikununulie.
  7. D

    JamiiForums Tanzania Tetesi kuhusu chuma ulete

    Ahsante
  8. D

    JamiiForums Tanzania Tetesi kuhusu chuma ulete

    Nimeamua nizimalizie hapa zote aisee. Nimebakiza elfu tano tu. Tena nimeificha kwenye soski nauli ya kunirudisha home
  9. D

    JamiiForums Tanzania Tetesi kuhusu chuma ulete

    Sijapigwa ndugu yangu nilipoingia kabla sijaagiza bia mhudumu akadai pesa kuhesabu ndio nikaona majanga
  10. D

    JamiiForums Tanzania Tetesi kuhusu chuma ulete

    Ahsante
  11. D

    JamiiForums Tanzania Tetesi kuhusu chuma ulete

    kuna jamaa yangu amenipa elfu themanini nikahesabu vizuri pesa ipo sawa. Kufika sehemu kukupara bia mbili nikahesabu nikahesabu nikakuta nina elfu sitini na tano. Sasa nashangaa ile kumi na tano imeenda wapi? Iyo baa nilipo sijapanda gata gari ni karibu na home
  12. D

    JamiiForums Tanzania Sh ngapi ada OUT

    Na mimi naomba kuuliza ada ya masters apo ni Tsh ngapi ?
  13. D

    JamiiForums Tanzania Nini Kifanyike Ili Viganja Viwe Laini?

    Awe anapaka asali
  14. D

    JamiiForums Tanzania Tuishitaki TPB Bank kwenye tume ya ajira

    kama ulifanya tarehe 15 wenzako waliitwa training jana na juzi na wakapewa mikataba yao siku iyo iyo. Ila naisi hawatarudisha mikataba pesa wanayolipwa ni ndogo mno. Just imagine una bachelor yako ulipwe 140,000 hapo mpaka ufikishe wateja 40. chini ya hapo unalipwa 50,000 kwa mwezi.
  15. D

    JamiiForums Tanzania Tuishitaki TPB Bank kwenye tume ya ajira

    Wenzenu jumatatu ndio wanaamza kazi. Training walipiga jana
Back
Top Bottom