mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 94,059
- 132,509
[QUO TE=CTU Kn t;11858986]Habari za jioni wana Jf.
Nina Kiwanja kidogo around 1000sqm nataka nipime nipate offer, jirani zangu wao swala lakupima hawataki kuliskia sasa nilitaka kujuaa kwa Kiwanja kidogo kama hicho process zinakua vp na gharama inakua aje?[/QUOTE]
Mimi siyo saveya lakini Kuna taratibu laZima upate,lazima uandike barua serikali ya mtaa ya kuomba upimiwe eneo lako, serikali ya mtaa nao wataandika barua kuthibitisha kuwa wee Ndiyo mmiliki wa eneo hilo wao wata sign, kwa mtandao wa kata pia wanafanya hivyo hivyo na wata sign....barua hizo zote utawasidia mkurugenzi wa manispa kuomba upimiwe.
Utamtafuta saveya atakuja na gps kuchukua coordinates ya hilo eneo ili ajue kwenye mchoro kuna nini...Kama mambo eneo safi
Un andika barua kutaka kupima. ..unaanza serikali ya mtaa hadi kwa mtandao na unaandika barua ya maombi kwa mkurugenzi wa manispa ....
Kuhusu bei ya Mali po ya saveya usiogope mtaelewana tu