Recent content by dunga.com

  1. D

    VAT katika Utalii: Prof. Maghembe asema hatuhitaji watalii masikini

    Ungekua unajua namna hiyo pesa wanavyolipa, wanamlipa nani na sisi kama taifa tunapata ngapi usingesema maneno hayo Watalii wote ambao ni high class wanalipia safari zao kupitia wakala wa utalii nchini kwao wanakotokea na hao wakala wanatuma pesa ambayo inatosha kufanyia oparesheni tu, kama...
  2. D

    VAT katika Utalii: Prof. Maghembe asema hatuhitaji watalii masikini

    Kama kweli katamka ashauliwe aombe msamaha mapema sana, wenzentu wanaumoja sana sector ya utalii inaweza kuchafulowa vibaya sana
  3. D

    Hivi ni kweli kwamba Lowassa ndio suluhiso la kila kitu hapa nchini?

    Hayo yote utayajua wewe mtoa mada mimi namchagua tu
  4. D

    CCM imechoka ona hii sasa

    Mtoa mada umekosea ulizozitaja ni mita na sio km, km ni 947,303 km2
  5. D

    Nahitaji Miche ya Nyanya Hybrid

    Wadau nahitaji Miche ya nyanya hybrid kwaajili ya greenhouse, mwenye nayo anipigie 0786431443
  6. D

    Nimeona aibu sana nilipomsikia Wassira

    Duh...hii noma
  7. D

    Jamani kama Intellectuals hebu tuweke ushabiki pembeni, tujadili haya madai ya madereva wetu

    Watu wengi wameshindwa kuyaelewa madai ya madereva, wanataka ajira zao zirasimoshwe kama ajira zingine, ajira zenye uhakika sio unatoka lubumbashi unafika tunduma tajiri anakuambia acha gari yangu hapo hapo funguo mpe fulani, pia kibwa kuliko serikali ikusanye kodi kwao kwakia serikalo haijawai...
  8. D

    UPDATES: Mgomo wa Madereva - Maeneo mengi nchini usafiri ni shida! Mei 04, 2015

    Moja ya madai ya madereva ni kulipa kodi maana wengi wao ni day waka hawalipi kodi....kosa lao wapi
  9. D

    Basi la Upendo Xpress, punguzeni mwendo huo

    Mwambie aombe chati ya sumatra kwa konda acheki na time table aone....yawezekana amezoea baiskel huyo...alafu kwanini hakuripoti kwa trafic officer pale Iringa? Anyway amwambie aripoti kwa trafiki wa mzani mikimi
  10. D

    Serikali kuzifuta taasisi za kidini zinazojihusisha na Katiba, Uchaguzi Mkuu

    Unachanganya habari mbili kwa wakati mmoja ww, uliza ueleweshwe, kauli yako ni sawa na kudandia gari kwa mbele
  11. D

    AJALI: Basi la kampuni ya Jordan lapata ajali na kuua

    kwa faida yao wenyewe. Unamaanisha nani mmiliki wa basi au? Anayepata ajali ni msafiri mmiliki hapati hasara kumbuka, sema tuwe tayari na ongezeko la nauli tusiwe wakali maana ghalama za uendeshaji zitakua zimepanda, hakuna biashara ya hasara
  12. D

    Azam TV tuondoleeni unyonyaji wa Multi-Choice (DSTV)

    Tsh 20000 unataka uone epl duh....subiri miaka kama 50 hivi
  13. D

    Ajali Tanzania: Mawazo mbadala kuhusu udhibiti wa ajali Tanzania

    Umekerupuka, only in Tanzania kila mtu ni mtaalamu, sasa mmiliki wa gari anahusikaje na ajari....ajari ya majinja iliyo sababishwa na shimo barabarani anafungwa nani na fain analipa nani? Ajali ikisababishwa na tair kupasuka au matatizo ya kiufundi kama brek, tair road end n.k nani atafungwa, au...
Back
Top Bottom