Azam TV tuondoleeni unyonyaji wa Multi-Choice (DSTV)

Azam TV tuondoleeni unyonyaji wa Multi-Choice (DSTV)

Azam Media, owned by Tanzanian conglomerate Bakhresa Group, is ramping up satellite capacity through a new transponder leased on the powerful Eutelsat 7B satellite.
Complementing capacity used on the copositioned Eutelsat 7A satellite, it will host new services for the rapidly growing AzamTV pay-TV platform.
Launched just 18 months ago, AzamTV counts 200,000 subscribers in Tanzania, Uganda and Kenya. The new capacity will enable AzamTV to extend its services to Rwanda, Burundi, Zambia, Malawi, South Sudan and Zimbabwe with additional content. Further expansion is planned using the company’s state-of-the-art studio complex and headend facility in Dar es Salaam that was inaugurated on 6 March by Jakaya Kikwete, the President of Tanzania.
AzamTV is boosting its line-up of over 55 channels with a new offer called “Azam Reloaded”, launched on 1 March and featuring a full decoder/dish kit for $55 and three package options.
Rhys Torrington, CEO of Azam Media, commented on the new contract: “Eutelsat’s satellite capacity and unrivalled DTH experience enabled us to launch an exceptional entertainment offer at a great price. This new contract equips us with the resources to fast track our development and further enhance the services we offer subscribers across our target markets. It also paves the way for an acceleration of HD content that raises the bar for further quality.”
Michel Azibert, Chief Commercial and Development Officer of Eutelsat, added: “AzamTV is one of the most exciting digital broadcasting ventures launched in Africa over the last 18 months. Compelling and attractively priced content, a strong retail network and high-power reach over Africa are the assets Azam has assembled to play its part in the digital broadcasting wave. We are delighted to be their chosen satellite partner and to see our 7° East position, occupied by two copositioned satellites, firmly rooted in Africa’s TV landscape.”

Source

Izo sat za kukop na kupest wewe unaziona dili sana
 
  • Thanks
Reactions: Bob
mpo tayari kulipia elfu 40000 - 50000 kama azam wakiweka epl kwenye visimbuzi vyao?
 
huyo jamaa ni mzushi...hiyo 180000 ameongeza chumvi nyingi sana...
Mi nadhani swala hapa sio kulipa 142,000/= au 180,000/= hoja hapa ni gharama iko juu, na wanafanya hivyo kwakua wamehidhi hiyo huduma na hasa ya kuonesha mechi.we kama laki na arobaini kwako ni ndogo wengine hawana.
Na shida ya watanzania ni kudhani vitu vya bei ghali ndy vizuri kumbe kuna wakati mnapigwa tu na wajanja.
 
LIKE Niku ADD;12ú457813 said:
hao wanaijeria wenyewe juzi wameandamana wanataka dstv washushe bei kama hawataki wajicheketue fasta!
Pamoja na bei kuwa ndogo bado wao wanaweza kuandamana. Kwetu huku ni kubwa sana kuliko Nigeria lkn hatuwezi kuandamana.
 
Kweli Azam tuokoeni..nina imani na Tido Mhando na ujio wa Charles Hilary chochote chawezekana..Tukipata Ligi 2 tu english premier league na La liga Dstv watafungasha virago
 
Watanzania wengi wanalalamika bila kujua.
Kama unataka EPL nenda dstv, hela yako tu
 
Dollar imetoka 1650 hadi 1830 hivyo jua tu lazima bei ipande. Afu tatizo kubwa watanzania si waelewa hata kidogo. Hawajui kuwa tatizo sio dstv bali ni bank kuu yetu na dollar
mkuu watanzania ni waelewa sana kaburu mnyonyaji sana izi gharama ni kubwa sana ukiringanisha na sauz though kule kipato cha watu kipo juu na chanel zetu zpo chache ukiringanisha na wao sauz, hapa gharama ipo juu sana iyo laki na 60 unalipa gari la mkopo kila mwazi sauzi, na bonus nyingi kwao unaweza ukalipa miez mitatu harafu ukapata mmoja free au tisa unapata mwaka hata decoder zenye ubora zipo bei nzuri hapa aisee ni aibu ukihoji utaambiwa dola mbona mobitel tulinunua vocha kwa dola ssa upuuz ule umeisha kwa kuwa washindani wapo voda na wengineo,na ssa ni tigo? Huu ni wizi muwekezaji apewe mashart ya kutumia sarafu yetu na iwe fixed amount sio kila miez kadhaa inajipandia tuu wala haishuki ?
 
Azam kufikia level ya dstv sio leo wala kesho lazima wa own satellite yao wenyewe ili kuwahakikishia hao sky sport kama ulikua hujui dstv wanachukua matangzo toka sky sport na sky sport kukupa rights za kurusha matangzo hyo payment yake sio ya kitoto bob hyo lak yako unayolipa dstv huwex kuangalia mechi hta mbilz za epl

Acha kujidharau. Ni suala la taratibu tu na kujipanga, wewe sio msemaji wa azam na sidhani kama hawana uwezo wa kurusha au kuhandle satelite. Kuna mengi unajidai kujua ila inawezekana. Tusifungwe na hao makaburu kifikra ukaona kwamba ni haki kwa wewe kuchajiwa 142,000 Subject to change at any time kwa Mwezi. Hebu fanya utafiti huko SA wanalipaje, Dubai na India au hata Us, tena US wanatumia cable which to my opinion is the cheapest way of receiving and broadcasting maana hata mimi natumia na nitaona mipira kwa $ 5.5 pm kwa rate ya 1$=1800. Kuna rafiki amesoma India naye ameniambia kule alikuwa na uhuru wa kuchagua chanels extra ambazo unalipia baada ya kifurushi mama, mf umelipia kifurushi cha Tshs 18000 unapata chanels lets say 40, then unataka S3 utailipia apart from 18000 lets say labda 5000 and any other chanel u wish. Kwa maelezo yake alikuwa analipa Elfu tano kwa gharama za kuona EPL. Hivyo tuhoji ili tuboreshe sio kuponda wengineHata simu zilianza hivi lakini baada ya ushindani gharama sasa zimeshuka. Hayo ni mawazo yangu nasimama kurekebishwa kwa ajili ya kufahamu vizuri. Asanteni
 
leo mzungu ni kaburu? Bahresa leo ni mwema? Bahresa ni mwarabu kesho anaweza kuwa gaidi wabara na waarabu ni vitu 2tofauti sasa huu msaada wa kuondoshwa makaburu kwanini musimuombe Mengi?

Mkibanwa munajua pa kukimbilia lakini mukishiba mnaleta matusi.
 
Juzi wateja wote wa Dstv walipata ujumbe juu ya ongezeko la gharama za huduma ya king'amuzi cha Dstv. Sasa kifurushi premium itakuwa kama 180,000 hivi. Naamini hawa jamaa wanapata jeuri na kiburi hiki sababu hawana ushindani hapa africa hasa kusini mwa jangwa la sahara maana upuuzi huu haupo nchi za kiarabu.
Tunaamini mnao uwezo wa kununua hati ya kurusha matangazo ya ligikuu ya england maana hii ndiyo siri ya kiburi chao. Hakika watanzania tutawaunga mkono 100%
Tuondoleeni huyu kaburu mnyonyaji.

Poleni sana watumwa wa kitanganyika na waafrika wote kwa ujumla. Tatizo sio Kaburu hapa, tatizo ni lilelile lililoanza takriban miaka zaidi ya 300 iliyopita-UTUMWA. Mmekubalu kuwa watumwa wa kila kitu, kwani msipoangalia Manchester, Liverpool, Arsenal, Chelsea mtakufa njaa? Simply ni kubadili mind zenu na kuachana na utumwa wa hizo ligi kwani Multchoice wanatambua vema "slave mentality" mlionayo na hiyo ndio mtaji wa Western karne kwa karne sasa. SLAVE MENTALITY". Endeleeni tu kulipa kwani bei za "ulevi" hazina ukomo wala maandamano. MKATE au Sembe kweli.

Yangu ni hayo.
 
Juzi wateja wote wa Dstv walipata ujumbe juu ya ongezeko la gharama za huduma ya king'amuzi cha Dstv. Sasa kifurushi premium itakuwa kama 180,000 hivi. Naamini hawa jamaa wanapata jeuri na kiburi hiki sababu hawana ushindani hapa africa hasa kusini mwa jangwa la sahara maana upuuzi huu haupo nchi za kiarabu.
Tunaamini mnao uwezo wa kununua hati ya kurusha matangazo ya ligikuu ya england maana hii ndiyo siri ya kiburi chao. Hakika watanzania tutawaunga mkono 100%
Tuondoleeni huyu kaburu mnyonyaji.

Wakifanya hivyo nitawavulia kofia.
 
alafu epl wamesain mkataba wa matangazo ya tv wa £5.6 bilions ambao ndo akina dstv, being sport nk wanachajiwa. kwa kifupi epl ni gharama sana kuonesha na si rahis kama watu wanavyofikir. ila wajiimarishe wanaweza kupata haki za kurusha tz au afrika masharik miaka kumi ijayo. alafu watu wakumbuke dstv bei zao ni fixed, kinachosumbua ni kushuka kwa shilingi na kodi
 
Back
Top Bottom