Recent content by duncan wa mbuji

  1. D

    JamiiForums Tanzania Askofu atabiri Tanzania kupigwa na Rwanda!

    Fake prophets.
  2. D

    JamiiForums Tanzania Askofu atabiri Tanzania kupigwa na Rwanda!

    Acha uchizi wewe,iwe isiwe wanyarwanda lazima tuwatwange kwa lipi hasa walilo nalo,huyo mnafiki.
  3. D

    JamiiForums Tanzania Barua ya Mch. Mtikila kwa rais Kikwete!!..Wazanzibari mpoooo???!!

    Anaongea vitu vya ajabu kwa hiyo mitaala ya cambrige ilikua ni nchi zote ambazo zipo chini ya jumuiya ya madola zote na hapa kwetu ambayo ilikua inafanya vizuri sana ni umbwe ya moshi ambayo ilishawahi kushika namba2 katika nchi za jumuiya ya madola,ukienda pale umbwe hata leo utaikuta ile...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Barua ya Mch. Mtikila kwa rais Kikwete!!..Wazanzibari mpoooo???!!

    Hiyo ni defensive mechanism,ebu angalia matokeo ya CPA single seat wazanzibar wangapi usipende ropoka na hizo data za uongo,nimesoma nao wengi sana wapo ambao walikimbia bara kwa kufeli walipoenda zanzibar ndio wakaongoza kwa ujumla unaongea vitu ambavyo havina fact cjui hata umesomea wapi wewe...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Majibu ya JK kwa Kagame ni haya hapa

    Huna akir,unaropoka as if unafikiri kwa kutumia makalio,kwenye ukweli ongea ukweli hacha kuongea vitu ambavyo havina sense.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Kagame tells Kikwete "I will hit you......"

    Acheni kuweka vitu vya kutunga,Rwanda ni nani kwanza,tupe source of information,wewe kama critical thinker huwezi andika vitu ambavyo havina ushaidi,shame on you.
  7. D

    JamiiForums Tanzania Kagame tells Kikwete "I will hit you......"

    kweli kabisa,ukiangalia vyombo vya habari vya kigali,hamna kitu kama hicho,last week nilikua kigali.
  8. D

    JamiiForums Tanzania Kagame tells Kikwete "I will hit you......"

    Aongee hazarani cyo kwa mafumbo kama aha jeuri atangaze vita,kwanza kama umefika rwanda ni ka nchi kakipumbavu kabisa cyo hata kakutupotezea muda,Membe aliongea wazi kabisa kama kukanusha wangekanusha ndani ya mkutano cyo kusemea nje,tena ni wapumbavu kabisa,hata kama wanataka vita yeye ndio...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Karipio la J.K.Nyerere 1965 dhidi ya USA na Karibisho la J.M.K dhidi ya USA 2013

    Naona mtoa mada unadanganya watu J.F.Kennedy kafariki dunia november 23 mwaka 1963 sasa sijui serikali yake ilihusika vipi,tusiwe tunapenda ongea vitu vya kutunga.
  10. D

    JamiiForums Tanzania Uhuru Kenyatta aisiriba serikali ya Tanzania

    Atatue kwanza matatizo ya nchi yake,huko ni kushobokea mambo ya watu.
  11. D

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Wasomi wetu hawauziki…!

    Kwanza hata ma prof walio wengi ukiuatilia kwa makini utagundua wanakariri tu.Wapo wachache wanatambulika kimataifa kwa kazi zao kama Prof Shivji,prof mbele na wengineo.
  12. D

    JamiiForums Tanzania Museveni agoma kuondoka TZ

    Hivi unajua kuna pesa inasamani kubwa kuliko pound au dollar na bado maisha magumu?
  13. D

    JamiiForums Tanzania Hii ndio kauli ya Mwigulu iliyowafanya wana Arusha kumkubali...

    Mwigulu ni -------- sana na hana akili mbona wao uchaguzi wa 2010 walitumia helicopter hau alikua bado kuluta wa mafisadi?.
  14. D

    JamiiForums Tanzania Proud to be Tanzanian. Shame on you ....!

    Safi sana habari ni ndefu ila imeeleweka na ni ukweli mtupu,kuna mijitu humu haina akili kabisa sijui wanafikiria kwa kutumia makalio manake kila kitu wao nikupinga tu.
  15. D

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji wazidisha masharti ya kutoa ‘pasipoti’ kwa vijana

    Hamna watu wapimbavu kama idara yetu ya uhamiaji wakati pasipoti ni haki ya mtanzania.
Back
Top Bottom