Recent content by Dumishamila

  1. D

    Kwanini wanaume huwa na michepuko?

    Kwa hiyo wao hawajizalii?
  2. D

    Mwanamke wangu kila akimaliza "mshindo" wa kwanza anadai amechoka

    We mdo mzembe. Umemlea vibaya. Dawa yake huyo ni kumpa one good round. Unaiju hiyo au nikuelimishe?
  3. D

    Mke wangu hataki niendeshe gari alilonunua. Nakereka sana

    Huyo ni limbukeni. We tumia gari tu akileta tena ujinga ng'oa kifaa muhimu ukakifiche mahali na kumuwekea kile feki halafu gari ikikaa sana unaenda kukitafuta na kumwambia umeamua kumnununlia hicho kifaa ili gari isije oza. Kama atanunua mwenyewe kile unakiuza halafu gari endelea kuliendesha...
  4. D

    Mke wangu hataki niendeshe gari alilonunua. Nakereka sana

    Vizuri sana wanawake mnaojitambua na kujua kwamba haya mambo ni ya kupita. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. D

    Mke wangu hataki niendeshe gari alilonunua. Nakereka sana

    Ushauri wa kipumbavu sana. Kwani hawa si mke na mume? Si mwili mmoja? Acheni kuwafanya watu kama vile ni majirani wakati ni mwili mmoja. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. D

    Kwenye hili mke wangu nimejisikia vibaya sana kwa kweli

    Wala usijali. Subiri watoto wanarudi shule. Umwambie huna hela tena ukomae uone kama atakubali mashoga zake wanaojua kwamba ana hela waone watoto wakikaa nyumbani. Mbona atalipa tu. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. D

    Mrejesho: Mume wangu nimechoka kukusubiri

    Mtaani kwenu umekosa mpaka uje hapa ambapo hujui hata sura ya mtu? We kweli umedoda hata huko unakofanya kazi, unakopanga, uliosoma nao, waliokuwa wanakutangulia vidato kote huko umekosa? Hili ni balaa kubwa. Huna mashangazi, ma mdogo au jamaa wengine wakakuunganisha na vijana wanaowajua...
  8. D

    Tetesi: Marufuku ya kuzidisha abiria ili kupambana na Corona, Daladala zimeanza kugoma Dar es Salaam

    Kwani aliyetengeneza hiyo daladala akaipa siti 22-26 hakujua? Acha tamaa katika kipindi hiki kigumu. Serikali inatafuta namna ya kupunguza maambukizi we unafikiria mambo ya mapato? Je hujasikia nchi zilizosimamisha kila kitu na watu wote wako quarantined? Watanzania tuacha ujinga. We unadhani...
  9. D

    Kwenu wanawake/ akina mama

    Dunian humu wanawake ni binadamu wa hovyo. Yale ma activists tunayasikia yakiwasemea wale waliovunjwa mikono na askari magereza tu. Ya hovyo sana. Mwenzao aliyeua utadhani alikuwa na haki. Yamenyamaza. Wapumbavu sana sijwahi kuona. Halafu yanakuwa mstari wa mbele makanisani eti kumuomba Mungu...
  10. D

    Hawa tembo maliasili mnawaona Mvomero?

    Wanaharibu mazao sana. Maafisa wa maliasili walikuja eti wanajifanya kutoa elimu na wakisema eti hairuhusiwi kuua tembo na wanadai familia itakayopoteza mtu kwa kudhuriwa na tembo basi itafidiwa Tsh 1millioni. Hivi badala ya kutafuta njia ya kuwarudisha mbugani mnakuja na maneno ya kitoto hivyo...
  11. D

    Hawa tembo maliasili mnawaona Mvomero?

    Nianze kwa kuwasalimu. Kuna tembo ambao wanaozunguka katika kijiji vya Wami Luhindo kitongoji Majichumvi na vingine wilaya ya Mvomero. Wanaharibu mazao ya watu na wanaweza kuumiza wananchi. Afisa maliasili mpo tu mnaridhika watu wafe au namna gani? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. D

    Kafara la Mtumishi wa Umma, Ndugu Daniel Maleki, Je Qur’an Aliitoa Wapi?

    Umeandika kitu kizuri sana. Nimekuelewa sana. Tumelewa na dini. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. D

    Vice Chancellor UDSM huku anafika mbali

    Hii si nchi ya wahuni. Ndo maana vijana wanaharibika. Unakuta kivulana kinasoma Chuo Kikuu lakini kinavaa kihuni. Halafi sisi waajiri tukienda vyuoni kujionea hatuoni wa maana. Mwisho kulalamika hakuna ajira, akuajiri nani wakati unavaa kata K. Ujinga mtupu.
Back
Top Bottom