Hawa tembo maliasili mnawaona Mvomero?

D

Dumishamila

Member
38
125
Nianze kwa kuwasalimu.
Kuna tembo ambao wanaozunguka katika kijiji vya Wami Luhindo kitongoji Majichumvi na vingine wilaya ya Mvomero. Wanaharibu mazao ya watu na wanaweza kuumiza wananchi. Afisa maliasili mpo tu mnaridhika watu wafe au namna gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MKWEPA KODI

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
28,804
2,000
Mkisema hao tembo wametumwa na chadema mpaka ikulu itaingilia
 
D

Dumishamila

Member
38
125
Wanaharibu mazao sana. Maafisa wa maliasili walikuja eti wanajifanya kutoa elimu na wakisema eti hairuhusiwi kuua tembo na wanadai familia itakayopoteza mtu kwa kudhuriwa na tembo basi itafidiwa Tsh 1millioni. Hivi badala ya kutafuta njia ya kuwarudisha mbugani mnakuja na maneno ya kitoto hivyo. Tembo ni mali sawa lakini wanakaa mbugani. Warudisheni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Forum statistics


Threads
1,424,900

Messages
35,075,540

Members
538,137
Top Bottom