Recent content by dume kubwaaaa

  1. dume kubwaaaa

    JamiiForums Tanzania Bado tunamshikilia Zitto Kabwe - Kamanda Matei

    Awamu hii tutayashuhudia meeeengi ya ajabu ajabu
  2. dume kubwaaaa

    JamiiForums Tanzania Tusiache na amani ya Tanzania kwa matukio ya kupita tu

    Uzwazwa ni mzigo kwa watu wa aina hii...!!! Amani inaondolewa na watu wasio na silaha kweli!!?? Mtoa uzi jitafakari kwani najua una ndg na jamaa
  3. dume kubwaaaa

    JamiiForums Tanzania WARAKA: Maaskofu Katoliki waonya uminywaji wa demokrasia na uhuru wa vyombo vya habari nchini

    Somehow jamii sasa inatambua kuwa hawa jamaa wako against na yanayofanyika hapa kwetu kwenye kisiwa cha.......
  4. dume kubwaaaa

    JamiiForums Tanzania Kituo cha haki za binadamu champinga Makonda kuingilia mahakama

    Haya matamko ifike wakati yakome,kulalamika inatosha kwani sheria hazipo za kuwafikisha kwa pilato watu wa aina hii? Matamko yameshazoeleka
  5. dume kubwaaaa

    JamiiForums Tanzania Lusinde: Miradi yote lazima tugawane majimbo ya CCM kwanza chini ya Waziri Mkuu, ya upinzani hatupeleki maendeleo

    Mbona jimboni kwake licha ya kuwa chini ya ccmakinikia miaka zaidi ya 35 hakuna la maana? Au ndo 10% kila mtu chake kivyake??
  6. dume kubwaaaa

    JamiiForums Tanzania Mjane wa Chacha Wangwe aomba Magufuli aamuru uchunguzi kifo cha mumewe

    Achen uzwazwa nyie inzi wa kijani
  7. dume kubwaaaa

    JamiiForums Tanzania DODOMA: Serikali yataja sifa za walimu wa sekondari watakaorudishwa kufundisha shule za msingi

    Ni pale tulipokosa self determination tufikiri ajira ya ualimu ni hisani kutoka kwa mamlaka flan
  8. dume kubwaaaa

    JamiiForums Tanzania Shambulio la Lissu kupigwa risasi: Polepole aibua mapya

    Kwa nn harakati hizo zisianzie kwenye cctv na wale maaskari waliokuwa doria? Tusishabikie uovu tukifikiri tuko salama kwani aliyezoea kula nyama za watu hachagui kabila wala rangi
  9. dume kubwaaaa

    JamiiForums Tanzania Shambulio la Lissu kupigwa risasi: Polepole aibua mapya

    Kwa hiyo dereva akipatikana ndo gharama za uchaguzi zitapungua au lisu ni mbunge wa siha? Upuuz sio busara hata kidogo
  10. dume kubwaaaa

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Viongozi 17 wa vyama vya upinzani Moshi Vijijini wameomba kujiunga na CCM

    Waende tu wakawapikie inzi wa kijan
  11. dume kubwaaaa

    JamiiForums Tanzania Shambulio la Lissu kupigwa risasi: Polepole aibua mapya

    Huyu jamaa anakuwa kwenye rika la vijana au wazee anaongea hovyohovyo km ilivyo sura yake
  12. dume kubwaaaa

    JamiiForums Tanzania Aibu kwa kijana uliepewa mkopo 100% na Serikali kuishambulia na kuizushia

    Aisee mazwazwa na vilaza ni mzigo kwa taifa hili,kama uko chuo nakushauri uache tu ukauze maji stand
  13. dume kubwaaaa

    JamiiForums Tanzania Je, CHADEMA wampe ulinzi Salum Mwalimu maana ushindi wake Kinondoni uko wazi?

    TANU ilikuwa na ukomavu gani au kukomaa mpaka ujue kuteka na kuua?
  14. dume kubwaaaa

    JamiiForums Tanzania Mbioni kuanzisha website yenye kuelezea juhudi kubwa zinazofanywa na Rais Magufuli

    Kizuri hujitangaza chenyewe ya nn kutumia nguvu kubwa kwan watu hawaoni? Acha kiherehere
  15. dume kubwaaaa

    JamiiForums Tanzania Je, CHADEMA wampe ulinzi Salum Mwalimu maana ushindi wake Kinondoni uko wazi?

    Hat mm niko tayari kupiga kura kwa mwalimu ili kuwaonesha hao mazwazwa kuwa tumewachokaaaaa
Back
Top Bottom