Je, CHADEMA wampe ulinzi Salum Mwalimu maana ushindi wake Kinondoni uko wazi?

Wazo lako ni mujarabu kabisa. Hakuna MTU Wa kumpatia kura msaliti. Yaani watu 2015 walihatarisha maisha yao kumchagua na kulinda kura lakini yeye ameona azime matumaini yao na bado bila aibu anataka tena achaguliwe...Hell Noooo....alichohongwa na ccm kinamtosha.​
Haaaaa haaaaa.Angeacha tu kugombea tungejua pengine alipenda tu.Heeeee heeeee Hapana aiseeee
 
Akishinda ataandika historia ( kama rekodi zangu zipo sawa) kuwa mbunge wa kwanza mzanzibar aliyeshinda jimbo la bara. Nipo tayari kukosolewa. Kumbuka, ubunge ni jambo la muungano
Ndo unataka kuaminisha nini.Wabaguzi bwana
 
ivi huyu matolia xjui nani, kwa kinondoni hii atatuambia nn, maana naona kama kichwa fetu
 
Salim mwalimu atashinda asbh na mapema. Kwanza anajua kuongea na kupangilia hoja namlinganisha na kamanda Lisu. Tunasubili kampeni ianze dar itasimama.
 
Awali ya yote ninamshukuru Mwenyezi Mungu mwingine wa rehma.

CHADEMA msilifanyie mzaha jambo hili maana nina uhakika kwa jinsi watu walivyochukizwa na wasaliti wachache walivyotuingiza kwenye gharama za uchaguzi bila sababu yeyote, lazima zitapigwa kura za hasira kiasi kwamba hata msaliti asipate kura za hata moja. Hakuna mwananchi atakayekua tayari kwenda kusimama kupigia kura kwa mtu aliyewasaliti kwa sababu ya hovyo halafu kisha akaitaka tena nafasi hiyo. Huyu mtu ni msaliti na haaminiki tena.

Kwahiyo kuna kila sababu ya CHADEMA kufanya kila namna kua kiongozi huyu Salum Mwalimu anapatia security ya kutosha kabla na wakati wa kuingia uchaguzi, wanaweza kujitokeza maadui wengi watakaotaka kutumia hila za kila namna ili kuhakikisha kua anakosa ushindi huo ulio dhahiri.Hawa watu wana mbinu nyingi sana sio la kubeza hili.

Ifahamike bayana kua Maulidi Mtulia hauziki kabisa Kinondoni, sio kwa sasa hata 2015 yenyewe alishinda tu kwa vile ulikua ni mwavuli wa UKAWA na kuchokwa kwa CCM. Kwa kawaida hiyo 2015 UKAWA wangelala wala asingeshinda na huo ndio ukweli wenyewe. Salum Mwalimu ni mjengaji mzuri wa hoja na anauzika sana bila shaka hilo halina ubishi, apatiwe ulinzi wa kutosha kijana huyu kulingana mahali atakapogombea na aina ya watu atakaopambana nao.

Nafasi yake ya unabu katibu mkuu inatosha tu kumpatia ulinzi, ni wajibu wa chama Chake kufanya hivyo.

Apewe ulinzi kwa kuhofia nini??? Ni nani ambao wanaweza kumdhuru???
 
Halafu walioteuliwa kugombea nafasi hizo hawatoki/ si wakazi wa maeneo hayo wanayogombea kuyawakilisha bungeni. Kamati kuu imeyakata majina ya walioteuliwa na majimbo husika kugombea nafasi hizo na badala yake kuwapa wajumbe wa kamati hiyo hususani huyo Salum Mwalimu. Hata kama sheria haiwazuii lakini wananchi wa maeneo hayo hawawezi kukubali.
Sijaona utofauti kati ya ccm na chadema katika kuwapata wagombea kwa majimbo hayo mawili
 
wamweke agombee urais kabisaa,he is bringing positive vibe kwa Chadema baada ya all these dramas zilizotokea kipindi kifupi kilichopita
 
Akishinda ataandika historia ( kama rekodi zangu zipo sawa) kuwa mbunge wa kwanza mzanzibar aliyeshinda jimbo la bara. Nipo tayari kukosolewa. Kumbuka, ubunge ni jambo la muungano
Kama unafatilia Huseein Mwinyi alikuwa Mbunge wa Mkuranga -Pwani.Tafuta historia yake utaipita.Baada kwenda kugombea huko ndio Adam malima akawa mbunge wa jimbo la Mkuranga- Pwani...Sasa Adam malima mkuu wa Mkoa wa Mara.
 
Kura yangu anayo na nitawashawishi ndugu zangu na rafiki zangu pia wampatie Kura!!mapema kabisa saa moja nitakuwa hananasifu kupiga Kura
Salim mwalimu atashinda asbh na mapema. Kwanza anajua kuongea na kupangilia hoja namlinganisha na kamanda Lisu. Tunasubili kampeni ianze dar itasimama.

CCM inapeta sababu inawapinzani mabua kiakili kama wewe mkuu. Eti anajua kuongea....
 
Kama unafatilia Huseein Mwinyi alikuwa Mbunge wa Mkuranga -Pwani.Tafuta historia yake utaipita.Baada kwenda kugombea huko ndio Adam malima akawa mbunge wa jimbo la Mkuranga- Pwani...Sasa Adam malima mkuu wa Mkoa wa Mara.
Wewe mjinga kosa la zamani haliweza kutoa uhalali wa kutenda kosa. Eti mbona Massawe naye alibaka na mimi acha ni bake subutu. Mwalimu hana chake. CHADEMA hamjakomaa kupewa dola
 
Awali ya yote ninamshukuru Mwenyezi Mungu mwingine wa rehma.

CHADEMA msilifanyie mzaha jambo hili maana nina uhakika kwa jinsi watu walivyochukizwa na wasaliti wachache walivyotuingiza kwenye gharama za uchaguzi bila sababu yeyote, lazima zitapigwa kura za hasira kiasi kwamba hata msaliti asipate kura za hata moja. Hakuna mwananchi atakayekua tayari kwenda kusimama kupigia kura kwa mtu aliyewasaliti kwa sababu ya hovyo halafu kisha akaitaka tena nafasi hiyo. Huyu mtu ni msaliti na haaminiki tena.

Kwahiyo kuna kila sababu ya CHADEMA kufanya kila namna kua kiongozi huyu Salum Mwalimu anapatia security ya kutosha kabla na wakati wa kuingia uchaguzi, wanaweza kujitokeza maadui wengi watakaotaka kutumia hila za kila namna ili kuhakikisha kua anakosa ushindi huo ulio dhahiri.Hawa watu wana mbinu nyingi sana sio la kubeza hili.

Ifahamike bayana kua Maulidi Mtulia hauziki kabisa Kinondoni, sio kwa sasa hata 2015 yenyewe alishinda tu kwa vile ulikua ni mwavuli wa UKAWA na kuchokwa kwa CCM. Kwa kawaida hiyo 2015 UKAWA wangelala wala asingeshinda na huo ndio ukweli wenyewe. Salum Mwalimu ni mjengaji mzuri wa hoja na anauzika sana bila shaka hilo halina ubishi, apatiwe ulinzi wa kutosha kijana huyu kulingana mahali atakapogombea na aina ya watu atakaopambana nao.

Nafasi yake ya unabu katibu mkuu inatosha tu kumpatia ulinzi, ni wajibu wa chama Chake kufanya hivyo.
Mbona kwao walimkataa kama anakubalika na ni mjengaji mzuri wa hoja? Tanganyika hatujafikia hatua ya ku-outsource kupata wawakilishi.
 
Back
Top Bottom