Recent content by dullymo

  1. D

    Freemasons Inside - Out: Who are they? How they operate? How to join them?

    hawa watu ni wabaya sana. tafadhali ili kujua mengi zaidi kuhusu wao. wapi wametoka, wapi walipo, members wao maarufu duniani, nini wanafanya ili kuicontrol dunia naomba ugoogle wakeupproject kisha ujionee mambo. kama una pressure tafadhali usifungue.
  2. D

    MWINYI Was A Visionary Leader

    ndugu zangu wa JF najua wengi tuna elimu. ila elimu peke yake haitoshi, kikubwa pia tuwe na hekima. binadamu hata awe vipi ili mradi ni binadamu basi lazima awe na makosa haijalishi ni rais, waziri au mbunge. haiwezekani makosa machache yamuharibie mtu wema wake mwingi. tunajua fika uongozi ni...
  3. D

    Mengi adai Polisi wahusika kutaka kumbambikizia mwanae madawa!

    ndugu kituko, kwanza napenda kukufahamisha mie ni mwanaume km jina langu kidg linakutatiza. pili nashkuru kwa kunijuza mengine ambayo sikuyafahamu. tukirudi kwenye hoja yetu napenda kuendelea kama ifuatavyo. MOJA iwapo polisi walihusika katika njama hizo, walishindwa kumtafuta mtu yeyote amabye...
  4. D

    Mengi adai Polisi wahusika kutaka kumbambikizia mwanae madawa!

    mie kidogo nina mtazamo tofauti ndugu zangu . . MOJA: hivi hao polisi walioshiriki katika kashfa hiyo ni wapumbavu kiasi gani hadi wamwekee unga wakati anaelekea INDIA na inajulikana wazi kuwa huko asia ikiwemo india na pakistan ndio sehemu unga unapopatikana tena kwa wingi tu. ni sawa sawa na...
  5. D

    frame za maduka na store KARIAKOO.

    mtaa kama wa pili hivi pale maeneo ya sokoni ni mpk ml 5 kwa mwezi bro na watu wanaomba leo kesho washindwe biashara wapachukue wao.
  6. D

    frame za maduka na store KARIAKOO.

    yup ndo hivyo bro si unajua sehemu zenyewe hotcake kwa biashara. jirani yetu yeye amepangisha ml 1.7 kwa mwezi kwa sababu tu eti ni ghorofa. lakini nashkuru mungu mpaka jana moja ishachukuliwa na nyingine tupo kwenye maelewano . . . . .
  7. D

    Foleni za magari ni maisha bora - Kikwete

    kikwete hana kosa katika kauli ile kwa sababu amewaambiwa watu wanunue magari mengi ikiwa kama njia ya kujidefence kutokana na foleni za mjini ambazo tunajua chanzo chake si wingi wa magari bali ni ubovu na uchache wa miundombinu. pia hebu tuigeuze upande wa pili ile kauli yake mfano angesema...
  8. D

    frame za maduka na store KARIAKOO.

    Salaam wadau. kuna frame zinapangishwa zimebaki mbili nyumba ipo KARIAKOO karibu na soko. maduka ni makubwa na yanafaa kwa ajili ya biashara kama ya SPARE za magari au pikipiki, Boutique, dula kubwa la chakula, na biashara zingine zinazoendana na hizo. kodi kwa mwezi ni milioni moja...
  9. D

    Urgent: Gx100, Gx110 inaitajika

    mzee lazima iwe ya showroom au ht kwa indivdual impoterz unchukua? zipo gx 110 tatu. 1 ya 2004 nyingne 2000 na nyngne 2001. hy ya 2004 imetumika jamaa anauza ml 9. hz zingine 2 ni mpyaa zina wiki 1 toka ziingie hata namba bd hazijatoka. full options n full body kits. bei ni 13.5ml. kama upo...
  10. D

    Minerals deal (ruby, copper, gold)

    utafiti umeshafanywa na analysis report zipo ni vyema kama 2ngepata muda wa kuonana pamoja na hao jamaa zako na kuongea kwa details zaidi. napatikana ktk hz no hapo juu. regards- abdul
  11. D

    Minerals deal (ruby, copper, gold)

    A'aleykum hellow guys. Kuna rafiki yangu mmoja anashughulika na mambo ya madini ameniombe nimwekee ad yake hapa. Anatafuta mwekezaji, share holder au mteja wa madini yafuatayo - gold - copper ore - galena - tantalite (colta) - iron - amasyst - ruby - agate - opper silk - opper na aina...
  12. D

    Inahitajika Rav 4

    ipo rav 4 ya mwaka 2000 MANUAL. MPYAA FROM JAPAN INA SIFA KAMA UTAKAZO BEI YAKE NI 15,000,000. UKITAKA KUIONA NA MAELEZO MENGINE NITWANGIE KWENYE 0713 744 144 - ABDUL
  13. D

    2000 toyota premio

    hii sio D4 ni 3S-FE wangu. mashine inaburuza hatari. offa yako sio mbaya ila kidogo inanibana. jivute jivute kidogo uchukue mchuma
  14. D

    2000 toyota premio

    duh mzee hata used huwezi kupata kwa bei hiyo bob.
  15. D

    2000 toyota premio

    gari zipo home mapipa. any time unaweza kuziona hata usiku maana zinalala hapo hapo
Back
Top Bottom