Inahitajika Rav 4

Exav

Member
May 6, 2010
65
18
Mwenye gari ya kuuza kwa kadri ya ufafanuzi ufuatao, tuwasiliane kwa exav@live.com au hapahapa jamvini.

  • Toyota Rav 4
  • engine size ≤ 2000cc
  • 2000 model
  • Mileage ≤ 100,000 km
  • Milango 5
  • Petrol/diesel
  • Na features zingine muhimu kam AC, PW, PS, PM n.k
  • Bei tutakubaliana
Iwe na hali nzuri kwa ujumla.

Shukrani zitangulie kwenu!
 
si uende dukani ukanunue, nenda pale DT Dobies, au kwenye showroom kibao kinondoni na dar yote...kwanini unataka kununua ile ambayo wenzio wametembelea hadi wamechoka, wameipeleka kwa waganga wakazindika kwa waganga kwa kuogopa kudondoka etc...si bora ununue jipya tu mkuu?
 
Kwa magari yaliyoko TZ gonga HAPA
 
Mwenye gari ya kuuza kwa kadri ya ufafanuzi ufuatao, tuwasiliane kwa exav@live.com au hapahapa jamvini.

  • Toyota Rav 4
  • engine size ≤ 2000cc
  • 2000 model
  • Mileage ≤ 100,000 km
  • Milango 5
  • Petrol/diesel
  • Na features zingine muhimu kam AC, PW, PS, PM n.k
  • Bei tutakubaliana
Iwe na hali nzuri kwa ujumla.

Shukrani zitangulie kwenu!

Mkuu vipi la mwaka 1998 unalitaka? Liko zbar naweza kukusafirishia. Kama vipi ni pm.
 
si uende dukani ukanunue, nenda pale DT Dobies, au kwenye showroom kibao kinondoni na dar yote...kwanini unataka kununua ile ambayo wenzio wametembelea hadi wamechoka, wameipeleka kwa waganga wakazindika kwa waganga kwa kuogopa kudondoka etc...si bora ununue jipya tu mkuu?

DT Dobie wanauza RAV 4 siku hizi??
 
Mwenye gari ya kuuza kwa kadri ya ufafanuzi ufuatao, tuwasiliane kwa exav@live.com au hapahapa jamvini.

  • Toyota Rav 4
  • engine size ≤ 2000cc
  • 2000 model
  • Mileage ≤ 100,000 km
  • Milango 5
  • Petrol/diesel
  • Na features zingine muhimu kam AC, PW, PS, PM n.k
  • Bei tutakubaliana
Iwe na hali nzuri kwa ujumla.

Shukrani zitangulie kwenu!

mkuu gari lipo znz unaweza kusafirishiwa kama upo serious ni ya 2000 manual sifa ulizotaja kama mfuko wako unafikia M17 by next monday itakua ipo dar sema mpango wako tukupe data kamili.
 
Mwenye gari ya kuuza kwa kadri ya ufafanuzi ufuatao, tuwasiliane kwa exav@live.com au hapahapa jamvini.

  • Toyota Rav 4
  • engine size ≤ 2000cc
  • 2000 model
  • Mileage ≤ 100,000 km
  • Milango 5
  • Petrol/diesel
  • Na features zingine muhimu kam AC, PW, PS, PM n.k
  • Bei tutakubaliana
Iwe na hali nzuri kwa ujumla.

Shukrani zitangulie kwenu!

ipo rav 4 ya mwaka 2000 MANUAL. MPYAA FROM JAPAN
INA SIFA KAMA UTAKAZO

BEI YAKE NI 15,000,000.

UKITAKA KUIONA NA MAELEZO MENGINE NITWANGIE KWENYE
0713 744 144 - ABDUL
 
Ninayo km 57000 bei 15M

Nilitaka nikutumie PM lakini naona inashindikana, sijui account yako ikoje. Naomba namba yako ya simu ili tuweze kuwasiliana. Nitakuwa nyumbani Jumapili hii (6 June 2010).

Exav
 
mie ninayo Rav 4 2001-2000 model mayai (new shape) nimeagiza kama unaitaka nikuuzie maana wife haitaki anataka harrier ni PM
 
ipo rav 4 ya mwaka 2000 MANUAL. MPYAA FROM JAPAN
INA SIFA KAMA UTAKAZO

BEI YAKE NI 15,000,000.

UKITAKA KUIONA NA MAELEZO MENGINE NITWANGIE KWENYE
0713 744 144 - ABDUL

Duu Mkuu hii mbona haijakaa sawa! hivi gari ikitoka Japan hata kama ni ya 2000 ni mpya?!!! Au una maana haijawahi kutumika kabisa.
 
Hivi kitu kuwa kipya maana yake nini...hakijatumika kabisa (running hour 0) au kimetumika ila ni cha hivi karibuni zaidi? yaani mfano gari ya mwaka 1998 ambayo imetembea km 10 na gari ya 2009 iliyotembea km 100000 ipi ni mpya zaidi?
 
Zote za zamani, kitu kipya ni kitu na box. Lakini kwa tafsiri nyingine kitu kipya ni kwako, kwa mwingine ni cha zamani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom