Recent content by Dullah07

  1. D

    JamiiForums Tanzania Tutajie Mbunge ambaye hujawahi kumsikia akichangia chochote Bungeni

    Abood ndio kabisa naona ni msikilizaji tuu ila wana morogoro huwaambii kitu juu ya huyo jamaa
  2. D

    JamiiForums Tanzania Nauliza taratibu za kupata kibali cha ujenzi kwa wilaya ya Kibaha

    Sijaelewa ulivosema rushwa 50000 hadi unamaliza hebu nidadavulie
  3. D

    JamiiForums Tanzania Nauliza taratibu za kupata kibali cha ujenzi kwa wilaya ya Kibaha

    Duuh,inamaana gharama inaweza kufika laki sita na jee sitosumbuliwa nikijenga bila kibali?
  4. D

    JamiiForums Tanzania Nauliza taratibu za kupata kibali cha ujenzi kwa wilaya ya Kibaha

    Habarini wapendwa. Nina kiwanja maeneo ya vikawe wilaya ya kibaha chenye ukubwa wa sqm 686 na ramani ya jengo nishachorewa na architecture yenye chumba master, sebule, choo public na baraza ya mbele na nyuma sasa wadau nauliza taratibu za kupata kibali cha ujenzi zikoje na gharama zake...
  5. D

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila aapa kurejesha mabasi yote yaishie Stand ya Magufuli

    Kampuni ishakufa mzee wa hiyo Kampuni umri umeenda sana na amekosa vijana wa kuendeleza gwaride ndo maana kampuni ikafa
  6. D

    JamiiForums Tanzania Diamond ana miaka 33 na wewe una miaka 33 ila wewe huna kitu

    Hebu nipe kwanza umri wa baba yako mzazi halafu nilinganishe na bakhresa na ikiwa baba yako ni mkubwa au yupo sawa na bakhresa nadhani ingependeza kumuuliza dingi yako kwanini bakhresa tajiri na yeye yupo yupo tu wakati wanalingana au kamzidi umri bakhresa
  7. D

    JamiiForums Tanzania Nimemkumbuka Nasma Hamisi Kidogo aliyemtikisa Khadija Kopa kwenye taarabu

    Kumbe 2009 ni zamani sana basi mimi ni muhenga wa 198***
  8. D

    JamiiForums Tanzania Nataka kununua fensi kwa ajili ya kutenga mipaka ya shamba

    Hivi zile fensi kama pale kijazi interchange ubungo zinasimama st ngapi na zinakuwa na urefu wa kiasi gani
  9. D

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

    Kwa hiyo kusema ukweli ni kuharibu biashara?
  10. D

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

    Eneo hilo linasumbuliwa sana na mafuriko na hiyo bei yako ni kipigo cha mike tyson
  11. D

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Arusha Murriet- maji & umeme vipo

    SQM 150 maana yake mita 10 kwa 15.Hicho ni kidogo sana mkuu angalau kianze na 350 kuendelea
  12. D

    JamiiForums Tanzania Dar: Kiwanda cha Magodoro GSM, Chawaka Moto

    Mashabiki wenzangu wa yanga kama tunaweza kwenda airport kuwapokea wapinzani wanaokuja kucheza na simba kwa bashasha zote tunashindwaje kwa umoja wetu kwenda kuuzima moto unaoteketeza kiwanda cha bosi wetu?
  13. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Asilimia 90 ya Wanaume niliokuwa nao kimapenzi waliniomba hela

    Nadhani huyu mdau atakuwa anatokea ule mkoa wanakula sana senene
Back
Top Bottom