Recent content by Dulex

  1. Dulex

    JamiiForums Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Sio unafiki bali natoa utata maana hili swala linawatatiza walio wengi
  2. Dulex

    JamiiForums Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Jamani habari za humu Leo katika kusoma neno la Mungu nimethibitisha KUBET ni dhambi kama hauamini chukua bible soma KIMBUKUMBU LA TORATI 18:10
  3. Dulex

    JamiiForums NAMIBIA: Kijana wa Sekondari agundua simu isiyotumia vocha

    Hongera kijana maana hata computer ya kwanza ilikuwa kubwaa
  4. Dulex

    JamiiForums Nchi gani nzuri ya kwenda kupumzika na kula raha za dunia

    Nenda Singapore uone hotel aliofikia Trump na kim
  5. Dulex

    JamiiForums MAONI YAKO NI MUHIMU HAPA

    Haa tutakimbia nchii
  6. Dulex

    JamiiForums MAONI YAKO NI MUHIMU HAPA

    Mfanowewe ungepata nafasi ya kupendekeza rais mpya aje kutawala Tanzania kutokea kokote duniani ungemchagua nani wewe Mimi ni mchagua presidaa wa zenjii sheniii .were jeeee
  7. Dulex

    JamiiForums USHUHUDA NI MUNGU PEKEE

    ushuda wangu nakumbuka Siku moja nilitekwa na vibaka nchini zambia nilikuwa naenda kupanda treni ya TAZARA nirudi bongo baada ya kumaliza Moshe zangu ili kuwa usiku so walinipola kila kitu iila nilipo ripoti police WA kule nilipokelewa vizuri na mdada hivi akanipa fedha ya kula pia akanitafutia...
  8. Dulex

    JamiiForums LEO TUNAFUNGUKA, HAKUNA KUONEANA AIBU

    Hivi ni tabia gani hua inakukeraa tena sana hasa humu jamii Muda wako Leo funguka kabda wataacha
  9. Dulex

    JamiiForums Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

    napenda kuwapa pole ndugu wrote walio poteza ndugu katika kivuko ok hata wewe to a neno la FARAJA hapa wataona comment yako
Back
Top Bottom