Mzee inabid uwe na vifaa/program maalum ambavyo vinauwezo wa kufanya hiyo kazi, na kumiliki vifaa ivyo lazima uwe na kibali toka serikali maana vinahusiana na usiri na usalama wa mawasiliano. Ukikutwa navyo hapo kazi unayo. Telecom Company taasi za ulinzi zinaweza kufanya hiyo kitu.
No One Ever...
Aaah! mi nitao demu kama huyu!!!? Napigapiga tu, ndo maneno yenu, sh*@nzi
Vijana wengi (hasa wale wenye elimu ya juu) mnajifanya mna uchambuzi mwingi wa mwanamke wa kuoa, na hasa mwonekano, mnataka kuoa mwanamke mkali sana, acheni ujinga vinginevyo mtasubiri sana.
Acha kucomplicate mzee...
[emoji848] Posible mzee, maana si rahisi miezi yote ya mimba awe kimya then uambiwe mtoto ana miezi 3, kimuhemuhe cha hawa viumbe wakiwa na mimba yako si cha mchezo. Hapo anataka kukuangushia jumba bovu.
[emoji848]Inawezekana mzee, maana kwa jinsi walivyo hawa viumbe miezi yote husiambiwe juu ya mimba yako then unakuja kuambiwa mtoto wa miezi 3 hiyo haiwezekani.
Hapo uenda kuna baharia alikabidhiwa hiyo mimba mapema sana na akawa anaifund ila baada ya mtoto kuzaliwa baharia akaona siyo chata yake then akaruka, hapo ndo bibie akaona baharia gani mwingine wa karibu mzee baba ukaingia katika list. Hatari sana[emoji16][emoji16]
Damu nzito kuliko maji ni msemo ambao tumekuwa tukiutumia ukitafsiriwa kuwa ndugu yako ni mwenye kukujali zaidi kuliko mtu baki.
Katika maisha yetu kuna mazingira ambayo hayaobey huu msemo, kuna marafiki/jamaa ambao ni wenye kujali shida na matatizo yako hata zaidi ya ndugu/baadhi ya ndugu wa...
"DPP, huyu ana mamlaka ya kuingilia kesi yoyote, mahakama yoyote, na ikiwa katika hatua yoyote kabla hukumu na kuifuta!, "nolle" bila kutoa maelezo yoyote wala sababu zozote, na uamuzi wa DPP ni wa mwisho, hauwezi kuhojiwa na mamlaka yoyote"
Pascal na Wadau Hii imekaaje Naomba ufafanuzi, DPP...
Habari Wadau.
Kwanza nitoe pongezi nzito kwa Simba SC na Tanzania kwa ujumla kufuatia kufuzu hatua ya robo fainali Africa Champions League, maana hatua hii inaitangaza Club na Taifa.
Kumalizika kwa hatua ya Makundi kunaonesha kuwa Simba ndio yenye uwiano mdogo zaidi wa idadi ya magoli ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.