Recent content by Dudukubwa

  1. D

    JamiiForums Tanzania Sawa huenda Hayati Magufuli alikuwa fisadi, Je hizo pesa zilitoka wapi?

    Naongezea hapo, je alizipeleka wapi?
  2. D

    JamiiForums Tanzania Kuna Sifa nyingi Kwenye social media Kuhusu Chama kimpya kiitwacho Umoja Party

    Fomu zinapatikana wapi? Nahitaji kujiunga faster
  3. D

    JamiiForums Tanzania SoC01 Uraibu wa Ponografia

    Porn inapunguza sana concentration. Mzazi ukiona kijana ako wa kiume hafanyi vizuri darasani ebu mchunguze vizuri inawezekana anapiga nyeto kwa porn. Mimi ni muanga mkubwa wa porn+punyeto+betting. Bet nimefanikiwa kuacha lakini porn+nyeto mpaka sasa nina mwezi + sijaangalia porn wala kupiga...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Mbunge ataka wafungwa waende gerezani na magodoro

    Wafungwa walipe kodi ya nyumba
  5. D

    JamiiForums Tanzania Mbunge ataka wafungwa waende gerezani na magodoro

    Haha.. Wafungwa walipe ada kwa mwaka 70k
  6. D

    JamiiForums Tanzania Kurudi kwa michango mbalimbali mashuleni. Je, Serikali imeshindwa kutekeleza sera ya Elimu bure?

    Watangaze rasmi kuliko kuwapa shida walimu.
  7. D

    JamiiForums Tanzania Kurudi kwa michango mbalimbali mashuleni. Je, Serikali imeshindwa kutekeleza sera ya Elimu bure?

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kumekuwa na wimbi kubwa la kuongezeka michango ya lazima katika shule za serikali, baadhi ya michango hiyo ni majengo, taaluma, madawati lakini watu wameenda deep zaidi hadi pesa za mitihani ya shule. Hizi ni dalili tosha kabisa kwamba...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Hata Manara angekuwa balozi wa Mohammed Enterprises, Mo asingepata faida

    Mo mjanja mjanja lakini alimzidi ujanja azam kwenye Mo xtra. Kama Mo xra ikiwekwa sumu basi nusu ya vijana tz wanakufa.
  9. D

    JamiiForums Tanzania Ninakosea wapi? Au biashara ni kipaji?

    Kama Manara anakula 700k hawa wa viwandani si wanakula 10k
  10. D

    JamiiForums Tanzania Njombe: Wanafunzi watoro walipishwa Tsh. 5,000 kwa kila siku wasiyofika shuleni

    We kuna watoto wengine watukutu, wavuta bangi huoni kwamba mzazi anaonewa hapo? Au umesoma FEZA ndugu
  11. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania N'golo Kante sifa zimemzidi hadi kiburi kinamnyemelea

    Pambana na hali yako acha uchawi
  12. D

    JamiiForums Tanzania Gharama za umeme: Rais Samia muwajibishe Waziri Kalemani na uongozi wote wa TANESCO

    Bila shaka wewe utakuwa muuza solar. Unataka gharama iwe kubwa watu washindwe kuvuta umeme wa tanesco hili uwauzie Solar zako. Acha uchawi mkuu
  13. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais wa TFF Karia ana tatizo gani Kocha Fred Felix Minziro? Tazama video hii

    We huoni alikuwa anaongea na mtu hapo? Halafu hujui bado tuna janga la covid!
  14. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais wa TFF Karia ana tatizo gani Kocha Fred Felix Minziro? Tazama video hii

    Bila shaka we ni UTOPOLO. Acha propaganda za kipumbavu. Karia mitano tena!!
Back
Top Bottom