Recent content by dudukila

  1. dudukila

    JamiiForums Tanzania Halotel:jipatie 12gb,175 dakika mitandao yote mwezi mzima kwa 7500 tu.

    Oiii huyo aliyekuunga anaunga mpk leo?
  2. dudukila

    JamiiForums Tanzania TRA: Tumekusanya jumla ya Shilingi Trilioni 3.65 kuanzia Julai hadi Septemba 2017(Robo ya kwanza mwaka wa fedha 2017/18)

    Na hawa TRA walikuwa wap mpk waje toa hzi report baada ya zitto kuanza chokochoko!! Kwan utaratibu wa mwanzo wa kutoa report ulikuwaje!?
  3. dudukila

    JamiiForums Tanzania Vyeti feki: Boniface Jacob afika kamati ya maadili, Makonda amemfanyia vitisho, ahoji uhalali wa Vikao vya CCM Ikulu

    Hahahahahaa we jamaa akili yako unailewa mwenyew
  4. dudukila

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kujua tunda walilokula Adam na Hawa

    [emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
  5. dudukila

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msambwanda ni furaha ya macho tu

    Kumbe we filauni
  6. dudukila

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu ndoto wakuu

    Ni kwel kabisa siwez tengeneza scenario ya hvyo ndio mana nimeileta humu
  7. dudukila

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu ndoto wakuu

    Sasa bro kama ndoa ndio aniotee natekwa na kupigwa aiseee
  8. dudukila

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu ndoto wakuu

    Mhhhhhh kwa kwel kama ndoa ndio aote kuwa nimetekwa mzee[emoji134]‍♂️[emoji134]‍♂️[emoji134]‍♂️ tena jana kanambia kuna gari nyeusi vx ilikuja na wakanichukua njian[emoji30][emoji30][emoji30]
  9. dudukila

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu ndoto wakuu

    Hahahahaha we jamaa sema asante pia kwa ushauri sasa kukodoa kunahusiana nn na yeye kuota natekwa
  10. dudukila

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu ndoto wakuu

    Sijakuelewa bro!! Kumtisha macho kivipi kk
  11. dudukila

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu ndoto wakuu

    Msaada jamani this is serious[emoji19][emoji19]
  12. dudukila

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu ndoto wakuu

    Habari zenu wakuu wa jamiiforums, Samahani, mdada nilikutana nae maeneo ya Mbezi Louis nilimsimamisha na kusalimiana nae kisha nikachukua namba zake nikawa nawasiliana nae, alinikalibisha niende kwenye ofisi yake ambae anafanya kazi, ye ni mjasilimali anajihusisha na kuuza mayai kwa trays, ni...
  13. dudukila

    JamiiForums Tanzania iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

    Nenda setting za cellural data then pale kwa chini utakuta hotspots then nenda kaedit kwenye APN kwa kuandika jina la mtandao unaotumia
  14. dudukila

    JamiiForums Tanzania Nauza iphone 5s

    Iko kwenye clean condition Storage 16gb IOS 10.2 Fingerprint Bei: 500k fixed Contact: 0659707051
  15. dudukila

    JamiiForums Tanzania Nauza iphone 5s

    Iko clean condition Ina miez mitatu toka inunuliwe dukani Storage 16gb Ios 10.2 Bei 500k fixed Contact: 0659707051
Back
Top Bottom