Habari za muda huu wakuu......ninamsaidia mdogo wangu kufanya applications za vyuo ikiwemo SUA.
Kuna mahala wameandika kwamba natakiwa ku'upload cheti cha form 4(kipo) na cha form 6 (havijatoka bado).....
Msaada nifanyaje au ni'submit hivo hivo bila ku'upload cheti cha form 6
Natanguliza...
Mtafute yule mjomba ako uliyekuwa unalala nae kipindi ukiwa mdogo....anaweza kuwa alichezea 'muscles' za hayo maeneo
Sio Kwa Ubaya Lakini
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wa majeshi mzee Mabeyo naishi nae mtaa mmoja huku Tabata segerea tangu akiwa mnadhimu mkuu wa jeshi na hata muda mfupi uliopita nilikuwa na mke wake kwenye jumuiya(Mama Mabeyo)....
Akiwa anakuja huku kitaa kutokea town (kupitia njia ya tabata segerea kwenda kinyerezi) ankuwa na escort ya...
Wataalam wa SUA....nina mdogo wangu ana ufaulu wa "D " mbili za biology na geography.... Naomba ushauri aombe kozi gani hapo SUA?
Nakaribisha ushauri na maoni
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunaumia sana sisi watoto kutoka familia zenye kipato cha kati na chini....nimetumia elf75 mpaka sasa kuomba vyuo vitatu kitu ambacho kwa yule ambaye yupo kijijini sio rahisi ku afford kulipa fedha zote hizo....Serikali inabidi iliangalie upya swala hili kwakweli
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.