Jamani huyu Rahisi wa sasa amerithi kiti anachokikalia kikatiba. Hilo halikwepeki. Mapungufu mnayoyaona kwake sasa ajibiwe kwenye kura ya uchaguzi 2025.
Swali langu ni dogo tu; je, hii mikopo huwa inaidhinishwa na Bunge au Cabinet kabla ya kuomba au ni utashi wa Rais/Waziri wa Fedha? Budget yake kwenye matumizi na marejesho inajulikana kabla ya kuombwa?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.