Recent content by duche boi

  1. D

    JamiiForums Tanzania Hapo kuprofit vipi wakuu ??

    Kaprofit kakubwa kubwa wakuu?? [emoji41]
  2. D

    JamiiForums Tanzania Hapo kuprofit vipi wakuu ??

  3. D

    JamiiForums Tanzania JF doctors msaada juu ya blood groups

    Shukrani Za dhati ziende kwenu ndugu zangu wana Jf , I love Jf, I love you wana Jf Na mungu awabariki sana NB Kwa wale ndugu zang ambao bado hawazijui blood group zao basi ni vyema kulifanyia kazi swala hilo Na kuwaza kutambua blood group yako. Siku njema jaman
  4. D

    JamiiForums Tanzania JF doctors msaada juu ya blood groups

    Habari Za kutwa ndugu wana Jf, naomba kufahamu juu ya hili swala mpenz wangu ana AB+ namimi Nina 0+ Je, hapa kuna tatizo lolote katika safari ya kutafuta mtoto
  5. D

    JamiiForums Tanzania Historia ya Paul Makonda iwasisimue Vijana

    Fact fact fact!! Nakubali damu yangu JE MWANDISHI ANATUSHAURI????
  6. D

    JamiiForums Tanzania Matokeo Kidato cha Nne 2016 yatoka, Feza Boys yaongoza!

    Msaada Jaman nahitaj kuangalia matokeo ya dada yangu alikua anarisiti please kwangu imegoma huku number yake ni p1602.0011
  7. D

    JamiiForums Tanzania Msaada: Uvimbe pembeni ya kibofu

    Habary za kutwa wanajamvi poleni kwa mapambano ya kutafuta ushindi, Ana baada ya kusabahiana wandugu naomba kufahamu kwa hii n nini? Pembeni ya kibofu kunakua kama kuna uvimbe ulio na maji ndani mwake ukiuminya unatoweka. Je ni ugonjwa na kama ni ugonjwa basi ni ugonjwa gani ? Na tiba yake ni...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Trevo ni nini

    0625643164 tutafutane
  9. D

    JamiiForums Tanzania BUREAU DE CHANGE

    Poa mkuu ngoja niitazame
  10. D

    JamiiForums Tanzania Trevo ni nini

    Mkuu ninemuona mwl Angelo anaipublish hii kitu sana , So weka maelezo ya kutosha ya kuweza kumshawishi kuiihitaji sababu maelezo uliyotumia ni dhaifu sana Naomba kuwasilisha [emoji124][emoji124][emoji124]
  11. D

    JamiiForums Tanzania BUREAU DE CHANGE

    Kwema wana Jf Naomba kufahamishwa Kama kuna apps au ni kwanjia gani taweza kujua mabadiliko ya fedha za kigeni bei za kuuzwa na kuuza kila siku katika simu yangu. Naomb mnifahamishe wandugu
  12. D

    JamiiForums Tanzania Nahisi vitu vinanitembea mwilini, naombeni msaada

    Mkuu asingecomment wew ungepata wap la kuongea sas ?? Hapo ndo ujue maana ya Eco - system
  13. D

    JamiiForums Tanzania Je mafuta haya yanatumika kwa kazi zipi ?

    Noted
  14. D

    JamiiForums Tanzania Je mafuta haya yanatumika kwa kazi zipi ?

    Duuuu hili nalo ni tatizo
Back
Top Bottom