Msaada: Uvimbe pembeni ya kibofu

duche boi

Member
Nov 28, 2016
30
11
Habary za kutwa wanajamvi poleni kwa mapambano ya kutafuta ushindi,

Ana baada ya kusabahiana wandugu naomba kufahamu kwa hii n nini? Pembeni ya kibofu kunakua kama kuna uvimbe ulio na maji ndani mwake ukiuminya unatoweka. Je ni ugonjwa na kama ni ugonjwa basi ni ugonjwa gani ? Na tiba yake ni nini??
 
Nenda hospitali kwa maelezo yako hayo linaweza kuwa tatizo kubwa!
 
Dah pole mkuu, hili jukwaa naliogopa sana, maana magonjwa yamezidi, kila ukiingia kuna jipya. Dah Mungu atumusuru
 
Habary za kutwa wanajamvi poleni kwa mapambano ya kutafuta ushindi,

Ana baada ya kusabahiana wandugu naomba kufahamu kwa hii n nini? Pembeni ya kibofu kunakua kama kuna uvimbe ulio na maji ndani mwake ukiuminya unatoweka. Je ni ugonjwa na kama ni ugonjwa basi ni ugonjwa gani ? Na tiba yake ni nini??
Weka picha mkuu nione ili nijue itakua ni nini
 
Duu!!mkuu
hajui kujieleza,usikute ana malengelenge juu ya ngozi hapo kiunoni,yeye anadai pembeni ya kibofu,hivi kibofu kinakaa ndani ama kiko nje?,
kama kiko ndani anajuaje uvimbe uko pembeni ya kibofu?
 
Habary za kutwa wanajamvi poleni kwa mapambano ya kutafuta ushindi,

Ana baada ya kusabahiana wandugu naomba kufahamu kwa hii n nini? Pembeni ya kibofu kunakua kama kuna uvimbe ulio na maji ndani mwake ukiuminya unatoweka. Je ni ugonjwa na kama ni ugonjwa basi ni ugonjwa gani ? Na tiba yake ni nini??
Mkuu umetumia njia gani kukigusa kibofu????????

Unaeza kuta ulishapona basi kama umeweza kugusa kibofu basi hata kujitibu unaweza
 
Back
Top Bottom