Nahisi vitu vinanitembea mwilini, naombeni msaada

Nahisi vitu vinanitembea mwilini, naombeni msaada

Mm niliwaipata tatizo kama hilo LA kusikia vitu vinatembea mm mwilini nikaemba muhimbili ilikuwa shida si mchezo wakaanza kuniuliza bangi unavuta ngapi na kunichalenji una A.K.A jina gani mm sikuwa mpuuzi nikalazimisha vipimo kwa nguvu mana ukiwasikiliza watakuandikia na kukupa madawa jinsi wanavyo hisi wao na kukupotezea muda bure
Ulishapona?
 
Ukitaka kujua kuwa madaktari wa kibongo ni "desa oriented",ugua magonjwa ambayo siyo common kwenye jamii.

Ni wababaishaji mno ndiyo maana waganga wa kienyeji wanasoko kubwa.
True true true
 
Tatizo geni ,kitu kinachoweza kutembea kayika mshipa w damu si ni damu tu,sasa pengine una blood clots,
yaani damu yako hugana vibonge ,lakini tena ungeweza kupata stroke kama ni vibonge vya damu,
au pengine unahisi viko kwenye mishipa wakati viko kwenye nyama,yaani tissue.
Hujasema inatokea sehemu zipi,mikononi,mgogoni,miguuni au kifuani?
Ni sehemu zote isipokuwa mgongoni na kichwani
 
Hiyo inaitwa. WITHDRAWAL SYMPTOMS. Yaani ulitumia madawa ya kulevya halafu ukaacha ghafla. Lazima upate hilo tatizo na ndio maana wengi wanashindwa kuacha. Nakupongeza kwa kuacha japo nahisi sababu ni kwamba buzi limekata kamba na kutokomea kusikojulikana baada ya kuona hujatulia
Hahahaha
 
Nakuhitaji means nakutaka na bila wewe things will just nat be fine.

Your too precious to just be wanted ..... I need u.

Daah usingizi usha nitoka tena
[emoji4]i feel butterflies kwa my tummy....and am blushing at the same time...ngoja nsiendelee....usijepata sleepless night[emoji40]
 
[emoji4]i feel butterflies kwa my tummy....and am blushing at the same time...ngoja nsiendelee....usijepata sleepless night[emoji40]
Wooouw!! If am just dreaming this then i dont want to wake up.

If am not falling asleep, i wont fall unless am falling for u.

Haaa! t'z weird and i like t
 
Nimekuwa na tatizo hili kwa muda sasa
kila nikiwa mahari nimekaa au nimelala, ghafla nakuwa nahisi kama mdudu ananitembea sehemu fulani ya mwili! nikitizama naona ni kwenye mshipa wa damu, kitu kinatembea ndani ya mshipa wa damu kisha kinatulia!
inakuwa inanitokea sehemu mbalimbali za mwili kasoro kichwani! Wataalamu naombeni msaada hili jambo linanikera mno!
Jaribu uende kupima hospitali huenda uanyo minyoo kama huna minyoo utakuwa unao uchawi mwilini mwako . kama uanyo minyoo kula nyanya tia na unga wa pilipli mtama kijiko 1 kidogo ndani ya nyanya mbichi ule asubuhi na jioni kw amuda wa siku 5 kamaniminyoo yote itakufa kama hujapona nitafute nikutibu maradhi yako. Ukihitaji matibabu toka kwangu Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
 
Back
Top Bottom