Recent content by Dubwika

  1. Dubwika

    TETESI: Mchakato wa Ajira za Ualimu kufanywa na TAMISEMI, utaratibu wa zamani kutumika

    Hizi sarakasi za Usaili kwa watu wanaohangaika kutafuta buku buku za kula mtaani hata hazina maana. Do you expect mtu ujichange nauli toka Kigoma kwenda DSM kusailiwa alafu uambulie kulamba vumbi itakupa depression kiasi gani? Watu walishazoea do or die kwa sababu ndo mfumo waliojiandaa nao...
  2. Dubwika

    Itakuumiza/itakusikitisha: Ukahaba wa Tabora

    Ongeza TANGA kwa Wanguu. Ukijua Togola na Mbuli Zedi tu ushamkamata
  3. Dubwika

    Itakuumiza/itakusikitisha: Ukahaba wa Tabora

    Wee badoooo, hebu kazungukie huko Chang'ombe, Area A alafu urudi kujisahihisha. Mabinti wa Kirangi wanagawa sana *nyuchi zao hapo. Ukipanda daladala za Chang'ombe shuka Stendi ya Zamani(Gwasa), alafu tembea hadi Karachi ukiona vitoto vidogo vinavouza papa uje kuandika uzi mwingine tena.
  4. Dubwika

    Anguko la falme ya kiume na jinsi ya kuirejesha

    Uzi wa wanaume wadada nao wamo... Ila nyieeee[emoji23][emoji6]
  5. Dubwika

    Mshahara wa Afisa Mikopo unaweza kuwa kiasi gani?

    [emoji1][emoji1][emoji1]Hio sasa ni kazi ya jeshi tu
  6. Dubwika

    Mshahara wa Afisa Mikopo unaweza kuwa kiasi gani?

    Simply kampuni inakopesha wajasiriamali na wafanyabiashara wadogo wadogo
  7. Dubwika

    Mshahara wa Afisa Mikopo unaweza kuwa kiasi gani?

    Wakuu, habarini za muda huu! Kwanza niwape pole na majukumu yenu kabla sijaeleza kilichonidubwisha kuandika uzi huu. Hakuna maisha magumu kama kukaa jobless au kuwa na kazi za kubangaiza mtaani. Sasa leo kuna rafiki yangu wa muda kidogo kanipigia simu kunahitajika Afisa Mikopo(Loan Officer)...
  8. Dubwika

    Kwani wenzangu mnafanyaje mpaka mnakuwa na hela nyingi

    Na hizi story za wanganga hujaziskia kama zinasaidia watu. Jaribu na huko unaweza ukatoboa bcoz nia yako ni UTAJIRI. Kwahiyo unavofocus kufika angle fulani jaribu njia tofauti tofauti yaani Focus on your dream no matter njia ni nzuri au mbaya. USHAURI: Tafuta amani kwanza ndo utafanikiwa, acha...
  9. Dubwika

    Wanaume JF acheni kuwafanya wanawake kuwa "objects"

    Kumekuchaaaa!!! Wameamka kujibu mapigo sasa[emoji23][emoji23][emoji23]bado hawajasema
  10. Dubwika

    Ujasiri wa kulala kwa wanawake mnaupata wapi wenzangu?

    Hapo kwenye “Mwanamke wako” yaani wangu, mbona nalala tu hakuna shida. Sasa hayo mengine unawaza yanini wakati unajua ni vigumu kutambua kama ww ni Main Man au Sideman. Chamsingi toa huduma tu sio kwenda kunyandua na kupangusa ‘madako’. Ila tu nikwambie usilale kwa MWANAMKE, lala kwa MWANAMKE...
Back
Top Bottom