Recent content by DUBULIHASA

  1. DUBULIHASA

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Mkuu hata mm kavu
  2. DUBULIHASA

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Mbona mm sijaona meseji! Au mpunga umeingia kimya kimya
  3. DUBULIHASA

    JamiiForums Tanzania Wi-fi tumenunua na wote unabadilisha password kisa mwezi mmoja sijalipia

    Zijasoma comments za huu uzi lakini najua lazima kutakua na mambo ya "TAFUTA HELA....."
  4. DUBULIHASA

    JamiiForums Tanzania Kajala: Natamani muda urudi nyuma nianze upya nilipokosea, ila nashukuru napumua

    Mkuu wazazi wangu walishatangulia mbele za haki.. hiyo context umeiletaje hapa. Unataka kunikera sasa
  5. DUBULIHASA

    JamiiForums Tanzania Kwa kweli JamiiForums siyo ya mchezo hata kidogo!

    Humu Jf unaweza ukamwita mtu "malaya" kumbe ni mama ako mzazi
  6. DUBULIHASA

    JamiiForums Tanzania Kajala: Natamani muda urudi nyuma nianze upya nilipokosea, ila nashukuru napumua

    Hivi hilo lipaja la Kajala kwenye hiyo picha ya chini kuna mtu linamvutia kweli? Isijekuwa kumbe sina nguvu za kiume!
  7. DUBULIHASA

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi amtuhumu Lema kuishi sea cliff kwa miezi miwili sasa

    Kuwa mwanaharakati inahitaji ujikane mwenyewe, just imagine wewe ndio Godbless Lema, Mama Samia amekuita Chemba amekuwekea kwenye account yako bilioni 10 cash.. amekwambia NATAKA WALE CHADEMA UWE UNAWA-SNITCH... Kukataa hiyo offer inahitaji uwe mtu kama sisi hiphop ngumu, ngumu nyeusi. Wagumu...
  8. DUBULIHASA

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Nimeshinda Sh 27M kwenye kubet, Kampuni inataka kunipa Sh 3M, Gaming Board hainisaidii

    Kwa the way muhindi anavyotubamiza natamani hii kesi niinunue, niruke nao kama Tundu Lissu..
  9. DUBULIHASA

    JamiiForums Tanzania Sakata la Dudubaya: Je Serikali inaunga mkono ushoga?

    Napinga kwa nguvu zote
  10. DUBULIHASA

    JamiiForums Tanzania Sakata la Dudubaya: Je Serikali inaunga mkono ushoga?

    Pale kwenye kashimo ndo pa kupalinda zaidi mkuu
  11. DUBULIHASA

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mume wa Rais Samia, Hafidh Ameir, afariki Dunia

    "Mume wa Rais Samia, Hafidh Ameir, afariki dunia" Kwenye hii title, maneno manne "mume", "wa" "Hafidh" na "Ameir" yangeondolewa ingekua ni unyama ududu kabisa...
  12. DUBULIHASA

    JamiiForums Tanzania FT: Gaborone United 1-1 Young Africans SC | CAFCL-1st Leg | Botswana National Stadium | 05-09-2026

    Yanga wamekalia rungu... umesogezwa mkia pembeni limechomekwa rungu.
  13. DUBULIHASA

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Man city ameshinda moja but Man u ananacheza kesho.. Manchester yupi unamsema?
  14. DUBULIHASA

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hivi hawa betpawa mbona kama wanachelewesha kuweka hela wakati mkeka umetiki
  15. DUBULIHASA

    JamiiForums Tanzania FREE MIN MEE

    Jamaa anagawa likes mpaka inasikitisha sana..
Back
Top Bottom