PAGAN
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 13,849
- 23,425
Mngebeba vitabu vikubwa na kalamu muigize kama wakaguzi kutoka serikalini.Hatari sana hiyo.
Mungu ibariki Jamii Forums. Yaani nacheka asubuhi asubuhi. Kweli inabidi tricky flani kuuwa soo
Mngebeba vitabu vikubwa na kalamu muigize kama wakaguzi kutoka serikalini.Hatari sana hiyo.
Wazinzi wengi mnapenda kujistukia bila sababu za msingi, mtaa huo kwani kila jinsia inatembea kivyake mkuu??Baba, inaelekea wewe ni fundi sana kwenye hiyo sekta. Afadhali United wenge mzee
Haupaswi kukosa mbinu za kimuundo hata sekunde mbili.Kila changamoto ijitafutie suluhisho muda huohuo.Mungu ibariki Jamii Forums. Yaani nacheka asubuhi asubuhi. Kweli inabidi tricky flani kuuwa soo
Wazinzi wengi mnapenda kujistukia bila sababu za msingi, mtaa huo kwani kila jinsia inatembea kivyake mkuu??
Mbona uzi umegeuka wa ngono😆
Watu ndio wanaotoka kwenye morning gloryMbona uzi umegeuka wa ngono😆
Toa kiroho safi kuliko kwenda kichakani au kuazima geto kwa masela.Ndio nipo hapa naambiwa show time 10k
Mimi naona vyote sawa tu🙆🏽♀️Jibu swali, show time au short time?
Ndo hao walioambiwa na ima wapambane wapate katiba mpya!Tatizo watu wamepelekea kwenye ngono tu.
Dahh wanaturingishia tunaolala kama panga sio😁Watu ndio wanaotoka kwenye morning glory
Ndio dakika ngapi vile?Ndio nipo hapa naambiwa show time 10k
Ndio nipo hapa naambiwa show time 10k
Katiba mpya itapatikana na midinyo lazima isonge mbele.Hakuna la kuachwa nyuma.Bumper to bumper mpaka lukwili!Ndo hao walioambiwa na ima wapambane wapate katiba mpya!
sawa, wazinzi wanakujaMuktadha wa wazinzi na wanunua malaya
Mbona walishafika tangu jana😁sawa, wazinzi wanakuja