Recent content by D'souza G

  1. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mbatia anaachwa akimdhalilisha Lowassa?Hili haikubaliki

    Huu mdahalo wa mwaka huu mtihani unaweza kuvuja kabla ya siku ya pepa(mdahalo)!
  2. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mwanamke Mwenye Shida Ya Mume Tu!!

    Zege(domo) peleka site!
  3. D

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

    Hao wadudu nimefuga sana. Nafanya ujenzi upya October and hope ntakutafuta mkuu!
  4. D

    JamiiForums Tanzania Majimbo 11 Ambayo UKAWA Wasipoteze Fedha Washapita

    Moshi vi
  5. D

    JamiiForums Tanzania Majimbo 11 Ambayo UKAWA Wasipoteze Fedha Washapita

    Vunjo aka jimbo la wagumu EA!
  6. D

    JamiiForums Tanzania Hits Tanzania ni mtandao gani?

    Huu ni mtandao wa simu ambao ulikuwa uanze kufanya kazi Tanzania tangu mwaka 2010.walijenga minara kwenye miji mikuu na baadhi ya highways hapa TZ! HQ ya hii kampuni ilikuwa pale Jirani na Heineken house mikocheni kama unatokea mjini kuna jengo hapo ambalo kwa sasa linafanyiwa ukarabati na...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Mwenye wasifu wa Henry Kilewo atuwekee hapa

    Ngachokaaa!
  8. D

    JamiiForums Tanzania Mbinu Za CCM kuongeza mafuriko mikutanoni (sample ya barua)

    Hii ni ishara kuwa baadhi ya Hao makatibu kata ni team ukawa!!!!
  9. D

    JamiiForums Tanzania Diamond aambulia patupu kwenye tuzo za NEA Awards

    Mpaka aombe msamaha kwa press conference tena airushe live tv na redio zote kwa masaa matatu! Pili kwa hiyo conference afanye live performance ya single atakayokuwa ameitunga specifically kwa ajili ya kuomba msamaha! Habari ndo hiyo!
  10. D

    JamiiForums Tanzania Dr. Didas Massaburi aendelea kuwanyima usingizi UKAWA, aiteka Ubungo, Dar Es Salaam

    Fingua macho wewe. Sema wanachama wamejitokeza kwa wingi na sio wananchi! Huoni hizo uniform???
  11. D

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yadoda Morogoro Mjini

    Mbona hujapiga picha upande wa audience pia???? Yaani unapiga jukwaa kuu tu??
  12. D

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya CHADEMA ya Wafuasi wa Dr. Slaa Jijini Mwanza

    Kuna mmoja hapo kavaa tisheri ya kesito laitii.nadhani alitoka kuzimua kwanza.
  13. D

    JamiiForums Tanzania Askofu Kilaini amvaa Dr. Slaa kuhusu Maaskofu kuhongwa na Lowassa

    Dr kashindwa kanisa Katoliki, CCM, mke wa kwanza na sasa CDM.what next..????
  14. D

    JamiiForums Tanzania Kweli Mungu hujibu maombi, CCM chaliii

    Jamani hivi viroba kweli ni janga!
  15. D

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM Mkoa Arusha na Katibu Mwenezi wa Mkoa Wajiuzulu na kuhamia CHADEMA

    Nape amesema kuwa kuna mchezo mchafu unaofanywa na chadema wa kutengeneza kadi feki za CCM na kuzigawa kwa watu wao then wana wakamba wakarudishe kuonyesha umma kuwa wamehama CCM! Namwomba kwa unywnyekevu mkubwa awaeleze watz je hawa viongozi wa CCM Arusha nao wamepewa kadi feki na chadema? Hizo...
Back
Top Bottom