Dr. Didas Massaburi aendelea kuwanyima usingizi UKAWA, aiteka Ubungo, Dar Es Salaam

Dr. Didas Massaburi aendelea kuwanyima usingizi UKAWA, aiteka Ubungo, Dar Es Salaam

Mr Chin

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
4,625
Reaction score
1,024
[h=3]Dr. Didas Massaburi Aendelea Kuwanyima Usingizi Ukawa, Aiteka Ubungo, Dar Es Salaam[/h]

11951299_1487263134928542_8163055000236463915_n.jpg


11061655_1487267634928092_1037129768100515892_n.jpg

Wananchi wamejitokeza kusikia Sera za CCM

11947636_1487274658260723_6839669328405385715_n.jpg

Mkutana ukiendelea kwa amani huku wananchi wakipiga vigeregere na vifijo.

11951891_1488756241445898_8236020222156298499_n.jpg

Mh. Samia alikuwepo pia

11935003_1488755631445959_1838329354453990683_n.jpg


11954607_1488755104779345_2885438543240185964_n.jpg


11933447_1488402378147951_7469821527426679594_n.jpg

UBUNGO YOTEEEE IMEMKUBALI DK. MASSABURI,

UBUNGO MPYA NA MASSABURI
 
Najuta kufungua huu uzi kabla sijaangalia alieuanzisha, Mr Chin mpaka october 25 utakuwa umenufaika vya kutosha na Lumumba!
 
Anapoteza muda bure kura kwa kubenea ila Pesa na chakula kwa masaburi
 
Yani huyu anaejiita Mr.chin ndo kapata ajira kbsa ila ajue itakatika tar. 25.Oct. Kwani kubenea yupo kazini
 
Yani huyu anaejiita Mr.chin ndo kapata ajira kbsa ila ajue itakatika tar. 25.Oct. Kwani kubenea yupo kazini

Nasikia haziivi kabisa na Lizaboni kwani kamnyang'anya ulaji. Toka mzee wa Itikadi ahamie Mtama hali sio shwari upande wa propaganda.
 
Last edited by a moderator:
Unabahati sana niko mbali na pc aseh ningekutoa nishai hapa masaburi hakubaliki ubungo yote mikutano yake ni aibu nmebahatika ona mkutano wake mmoja aseeh ni balaaa tupu yan hadi wanaccm wenzake walimkimbiaa huyu jamaa hapiti anapoteza pesa zake tu mana ni muhongaji mzuri sana yeye na shirima
 
Nimeona clip ya masaburi ubungo watu ka 40 nimecheka sana inafurahisha kwa kweli
 
Anahonga kinoma yani nina jembe langu iloo ukawa damu anaendaga kwenye vikao vyao anawapiga pesaa alaf anawachoraa tuu
 
Fingua macho wewe. Sema wanachama wamejitokeza kwa wingi na sio wananchi! Huoni hizo uniform???
 
Hawezi kuwanyima UKAWA usingizi. Kwanza leo wana ccm kutoka wilaya majimnbo mengine walihudhuria ubungo. Mikutano ya masaburi hata watu 50 huwa hawafiki. Kubenea ni mbunge wa ubungo bila hata kupiga kampeni ameshapita. Issue hapa ni ku delete CCM na kupitisha ukawa hata kama ni paka atapita. Get is man.
 
Nimeona clip ya masaburi ubungo watu ka 40 nimecheka sana inafurahisha kwa kweli
Mkuu ninakuhkikishia leo walibeba kwa UDA toka majimbo mengine. Masaburi ubungo kampeni zinatia huruma na atadondoka vibaya. Ila kwa kuhonga tu hajambo. Kuna jamaa yangu anamlia pesa moyo wake na akili ni UKAWA. Kula kijani lala bluu!!
 
Mhh mbona kama coment zinapotea
 
Hutu kijimaa astahili kuingia bungeni ,ataenda kulala tu kimwili kinafanana na kile cha kule kwa mdada Bu
 
Watakaa vikao sana masaburi awekwe timu ya propaganda ila sio ubunge
 
Back
Top Bottom