Recent content by dsamanga

  1. D

    Dodoma: Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete kuzindua Bunge la 10, Nov 2010

    Kabisa 'yani asijifanye kuimba taarabu ila ndo fani yake
  2. D

    TAKUKURU: Chenge hahusiki na tuhuma za RADA

    lol ,naona mafisadi wanafanya nchi ni ya kwao na sasa ni muda wa JK kulipa fadhila kwa kuwaachia nchi taratibu ,tutakutana 2015 :israel:
  3. D

    GE2010 Eti Sitta ataka uspika, asema anafaa, Kweli ataliweza hilli Bungo La 10

    NA safari hii watamchakachua mana chama kimejaa wachakuaji lol
  4. D

    GE2010 CCM washinda Ukonga na Segerea

    Jimbo litarudi tu,subirini wachakachuaji
  5. D

    GE2010 Wafuasi wa chadema tumieni busara kunusuru uchaguzi kufutwa ubungo!!!

    PLZ naomba muwe watulivu wakose cha kufanya mana kila njia wanayotaka kutumia haiwatoshi.Viongozi wa chadema tunaomba muwahimize ndugu zetu watulie .
  6. D

    GE2010 Lawrence masha, basil mramba, makongoro mahanga wapeta!!!!!!

    Huu sasa ni utani CCM mnachotaka Kufanya ' Yani inaonyesha mnataka kuweka history Tanzania' huyo brazamen arudi state akale bata.atuachie wapiganaji wetu waingie bungeni lol
  7. D

    GE2010 FFU Convoy On Mandela Road

    Inatakiwa ifike kipindi askari wetu watumie akili si kila kitu amri'Watuache na Nchi yetu tunapenda Amani ' wakaombe mech Afganistan lol .PEOPLES POWER
  8. D

    GE2010 Tundu Lissu naye mwendo mdundo...!

    Yani mjengoni hakuna kusinzia, tuleteeni data jamani
  9. D

    GE2010 Uzembe wa mawakala kuwaponza wapinzani

    Inabidi chadema wajipange kuwaangalia hao mawakala kanjanja wa ccm
  10. D

    GE2010 Uzembe wa mawakala kuwaponza wapinzani

    Roho inauma ukiibiwa huku unaona lol .
Back
Top Bottom