Wabunge wa CHADEMA watoka nje kususia hotuba ya Rais Kikwete

mie ninacho jiuliza, inawasaidia au wanapoteza muda wao ?. Rais akiisha kuwa rais kwa mujibu wa katiba ndio basi tena. Mbaya zaidi wabunge wa ccm ndio wengi zaidi. Kwa mujibu wa bunge tulilo nalo chadema wana asilimia 14% tu ya wabunge wote. Kwa mazingira haya nguvu hawana , kwani kwa situation iliyotokea zanzibar wao walikuwa wamepishana kidogo sana kwenye baraza la wawakilishi. Na isitoshe wao wameapa bungeni kuitii katiba, na sasa katiba ndio iliyomweka madarakani rais aliyekuwepo, sasa hapo si kuwadanganya wananchi bure . Na isitoshe mbowe mwenyewe hivi sasa kama kiongozi wa upinzani hivi sasa anatembelea gari ya serikali stk 1748, sasa na gari si angesema hataki kama kweli yupo kwa ajili ya wananchi?, ha ha ha kweli wajinga wali wao, thinktwice.

usiwe kama juha sijui kama unaelewa unachokiandika
 
Ujinga unao wewe, who is you mpk unamuita Lisu,Mbowe,Mnyika,Zitto, etc, wajinga? Wamechaguliwa na wasomi watupu sasa sie wasomi tunachagua wajinga wenzetu au?Tena naomba utukome maana they are doing that on behalf of Tanzanians and not on behalf of Mafisadi. That is what we expected from them and make yourself ready for the next difficult situations to that mama(spika) (QUOTE).

progress.gif

http://twitter.com/home?status=Wabu...nje-kususia-hotuba-ya-rais-2.html#post1277497

Wanaweza kuwa wasomi lakini nakuthibitishia usomi siyo kila kitu. Unaweza ukawa msomi na ukakosa busara na hekima. Wako wengi wa aina hii. Kama hawamtaki JK waondoke na nchi hii. Wasiendelee kukaa huko Dodoma, na wala wasipokee posho za ubunge ili tujue kuwa hao siyo wanafiki.


Mimi siyo mbashiri lakini nawathibitishieni huo ndio mwanzo wa mwisho wa CHADEMA. In three years time hakutakuwa na CHADEMA. Nyie ngojeni muone na mtaikumba thread hii.

Pole kwa mkanganyiko wa mawazo. Cool down hi ni trailer cinema haijanza
 
Waondoke na bungen kama vipi tutawaheshimu zaidi awakumbuki jamaa zao cuf walichapa mwendo

BUNGENI HAWAONDOKI HAPO NDIO PA KUONGELEA NA KUONYESHA WALIOYAONYESHA LEO, WANGESUSIA BUNGE LEO TUNGEWAONAJE KWAMBA WAMESUSIA HOTOBA YA KIKWETE, WE VIPI?:A S angry::A S angry:
 
Usiwe na mawazo mgando ww, katiba na ya kila mtanzania na sharti kuitii lakini ujue katiba haiwaelekezi wachakachue kura. Mtu mdhambi haifai kushirikia na matendo yake mabaya
 
Wabunge wa CHADEMA wamethibitisha ujinga mkubwa walio nao. Haiwasaidii na wala haitasaidia CHADEMA. The publc is against them and CHADEMA. Tanzania bila CHADEMA inawezekana sana tena sana mara elfu.
<br />
<br />
Labda ww na mawazo yako potofu, umma wote tuko nyuma ya Chadema na yeyote mwenye integrity ya kutuendeleza sio kutudhulumu
 
Wabunge wa CHADEMA wamethibitisha ujinga mkubwa walio nao. Haiwasaidii na wala haitasaidia CHADEMA. The publc is against them and CHADEMA. Tanzania bila CHADEMA inawezekana sana tena sana mara elfu.

Wewe ndio mjinga mkubwa. Kama huna cha kuongea bora ukae kimya
 
Kipaumbele kimojawapo ni kutafuta Wafadhili..... heri waliotoka humo bungeni yaani full kichefuchefu
 
Wewe ndio mjinga mkubwa. Kama huna cha kuongea bora ukae kimya

Mnatafuta BAN nyie, punguzeni jazba tumjadili huyu mkwele vizuri mfano ana vipaumbele 13 kati ya sifuri!!! sijawahi kuskia vipaumbele vingi hivi..... anaongea kama vile tuko kwenye gahawa
 
Hii ni aibu kwa Kiwete kwa Speech yake kususiwa na CHADEMA.
Hii ni message nzito inapelekwa kwa Kikwete,CCM na Serikali yake kuwa hawakuingia madarakani KIHALALI.Hilo wanalijua.

CUF walifanya hivo 1995 na 2000. Lakini leo kwasababu wamefunga ndoa na CCM wanalaumu CHADEMA kuwa ni kosa kufanya hivo. Huo ni unafiki wa hali ya juu. Sasa hivi UPINZANI WA KWELI UKO CHADEMA. CUF,TLP,NCCR ni mapandikizi ya CCM tu!

CHADEMA ni wachache sana wala hai wa affect chochote CCM jamani. Je wakati wa kujadili hotuba ya JK na nyie mtaijadili au mtawaachia CCM watambe wanavyotaka ?. CHADEMA wanataka wananchi wawaonee huruma na kuona kama walionewa saaaaaana. Cha kufanya ni kuimarisha Chama vijijini ambapo hakuna hata shina wakati mwingine, THINKTWICE !
 
Mie ninacho jiuliza, inawasaidia au wanapoteza muda wao ?. Rais akiisha kuwa Rais kwa mujibu wa katiba ndio basi tena. Mbaya zaidi wabunge wa CCM ndio wengi zaidi. Kwa mujibu wa bunge tulilo nalo CHADEMA wana asilimia 14% tu ya wabunge wote. Kwa mazingira haya nguvu hawana , kwani kwa situation iliyotokea zanzibar wao walikuwa wamepishana kidogo sana kwenye baraza la wawakilishi. Na isitoshe wao wameapa bungeni kuitii katiba, na sasa katiba ndio iliyomweka madarakani Rais aliyekuwepo, sasa hapo si kuwadanganya wananchi bure . Na isitoshe Mbowe mwenyewe hivi sasa kama kiongozi wa upinzani hivi sasa anatembelea gari ya serikali STK 1748, sasa na gari si angesema hataki kama kweli yupo kwa ajili ya wananchi?, ha ha ha kweli wajinga wali wao, THINKTWICE.


Sikio la kufa.......?

Tumejitahidi saana kuwaeleza viongozi wetu kuwa hii ita - backfire lakini hawasikii.
 
Huko EU watashangaa nyie mna wabunge 45 out of 239 halafu mnasema mlishinda urais hehehe
t

It is so simple. Sio siri wamechakachua ya ubunge na uraisi, wataelewa tu kwani hata report yao inaonyesha kuwa uchaguzi haukuwa huru kwani tume imechaguliwa na mmoja wa wagombea.
 
Ndio ukomavuuuu, nadhani hapo JK anahutubia ila roho imamuuma, sese huku sema ujinga.Pale ni bungeni hawezi toa vijembe kama alivyokuwa anaongea na wazee wa dar es salaam. Plale anatakiwa atoe muelekeo wa serikari kwa 5 years

Itabidi aitishe mkutano mwingine na Wazee wa Dar ili atoe vijembe kama alivyomfanyia Mgaya wa TUCTA
 
Wabunge wa CHADEMA wamethibitisha ujinga mkubwa walio nao. Haiwasaidii na wala haitasaidia CHADEMA. The publc is against them and CHADEMA. Tanzania bila CHADEMA inawezekana sana tena sana mara elfu.

Tanzania bila wizi wa kura inawezekana sana tena sana mara elfu. Mkakati wake ni huo wa CHADEMA
 
There are currently 227 users browsing this thread. (82 members and 145 guests)
So what!
Any way.
Chadema MPs nawapa big up,mmeonesha kwa vitendo kuwa unafiki hauvumiliki ndani ya Chadema na kumsusia mteule wa NEC at all National issues(Uraisi)is must until 2015.
 
Hiyo ni njia sahihi kabisa ya kufikisha ujumbe, na wale wanaowaita wajinga nadhani kinachowasumbua ni mawazo mgando:bowl:
 
Duh kweli balaa, heading imenivutia kuisoma na ndo kila mtu anaisubiria habari hiyo ila kuingia ndani hakueleweki! Siyo kabisa, ni mtazamo wangu tu
 
Back
Top Bottom