Elections 2010 Uzembe wa mawakala kuwaponza wapinzani

TanzActive

JF-Expert Member
Nov 14, 2007
367
73
Habari
Nimetoka kumuua kikwete kweny ballot box

Kulikuwepo mawakala wawili tu , CUF na CCM sijawaona wengine

hii ni soo
 
Watakuja kamanda usihofu ushindi upo tu pale pale

Sasa hili mbona linaanza kunipa wasiwasi? Chadema jamani hebu mtueleze kinachoendelea. Mbona inaelekea vituo vingi hamna mawakala wenu au waliokuwepo ni wale ambao wana uwezo mdogo wa kuelewa mambo na rahisi kurubuniwa? Aaaaaarrrrrrrrggggghhhhhhh! :angry:
 
Nilijua hili litatokea tu . Kushindwa kusimika wagombea ubunge (hata uchwara) kwa kila jimbo ilikuwa dalili ya kwanza.
 
uliwezaje kuwatambua wakati hawana ID za kimavazi au hao walikuwa nazo??
Anyway, mi nimeshapiga kura na nikiwa mle kituoni ukatokea utani fulani nikamsikia wakala mmoja akisema mwaka huu HADUNGANYIKI!!
na mm nikaungana nao kwenye tabasamu, baada ya hapo nikaenda pale kwenye kichumba nikamsalimu Dk wa ukweli na vijana wake nikakunja karatasi zangu na kuzitumbukiza sehemu stahili na tabasamu langu pana nikawapishe wengine nao watoe hukumu..
 
Habari

Nimetoka kumuua kikwete kweny ballot box

Kulikuwepo mawakala wawili tu , CUF na CCM sijawaona wengine

hii ni soo

KATA YA SINZA B SHULE YA MSINGI MASHUJAA JIMBO LA UBUNGO: KUNA KINA MAMA WA CCM WANAZUNGUKA KILA CHUMBA NA SI MAWAKALA,WANATOKA NA MAGARI YAO NA KURUDI,WENGINE WAMEPANGWA KUZUNGUKA MAJENGO YA SHULE: DIFENDG 4 ZIMEJAA ARMED FFU U NA GARI LA MAJI YA KUWASHA LINAPIGA VINGORA KUTISHA WANANCHI HUKU UTULIVU NI WA HALI YA JUU.

Kila kijana ni vidole viwili, inatia moyo.
 
Mkuu hata vituo vya mlimani primary school, hawakuwepo hadi mida ya mbili kasoro.. checkini pia, ila nilifurhaishwa kuona wanachuo weeeengi wamerudi kuja kutimiza haki yao ya kikatiba, pamoja na hujuma za kutofungua chuo!
 
Tueleze bayana ni kituo gani, kata ipi ili tutendee kazi sasa hivi

I guess this is too late. Wasimamizi hawakuwekwa. Na kama waliwekwa, inakuwaje wamechelewa kufika?? Hizi ni golden chances ambazo CCM hataziachia zipite hivi hivi. It was a pipe dream to think JK atashindwa afterall.....aaaaaaaaaaaaaarrrrrrrrrrghhhhhhhhhhh5%%$#@&*
 



Nimepitia threads kadhaa hapa na kugundua kuwa kuna baadhi ya members humu wamepiga kura tayari lakini humo ndani waliwakuta mawakala waliowatilia shaka kuwa si wa CHADEMA au hawakuwakuta kabisa. Sasa badala ya kuendelea kupoteza muda, ni vyema mwenye wasiwasi aweke jina la kituo hapa ili hatua zichukuliwe haraka kabla ya zoezi la kuhesabu kura halijaanza. Orodhesheni vituo hapa:
1.
2.
3.
.
.
.
n.
 
Watakuja kamanda usihofu ushindi upo tu pale pale

Ubovu wa Watanzania. "Watakuja tu"!!!!!! Waje lini. Mambo ya kujipa mahope ovyoovyo. Kama hawapo, hawapo tu. Tuache uzezeta kujipa moyo hata kwenye mambo ya kipuuzi. Kama huna cha kuchangia kaa kimya. Watu tunataka mabadiliko, hatutaki mambo ya kishenzi, majibu mepessi kwa maswali magumu. Upuuzi mtupu.
 
Haya mambo yanatutia hasira sana sisi tunaopenda kumwangusha shetani CCM. Hivi hawa CHADEMA wanadhani si tunacheza? Halafu kuna majitu hapa yanasema, "Mawakala watakuja tu" (Naongea kwa wa kubana pua). Shenzi.
 
Yaani inaumaaa! Chadema wametutosa! Wagombea udiwani na ubunge wanaratibiwaje toka makao makuu kuhakikisha wanasimamia mawakala kwa umakini?
 
KATA YA SINZA B SHULE YA MSINGI MASHUJAA JIMBO LA UBUNGO: KUNA KINA MAMA WA CCM WANAZUNGUKA KILA CHUMBA NA SI MAWAKALA,WANATOKA NA MAGARI YAO NA KURUDI,WENGINE WAMEPANGWA KUZUNGUKA MAJENGO YA SHULE: DIFENDG 4 ZIMEJAA ARMED FFU U NA GARI LA MAJI YA KUWASHA LINAPIGA VINGORA KUTISHA WANANCHI HUKU UTULIVU NI WA HALI YA JUU. Kila kijana ni vidole viwili,inatia moyo.

Tunaomba msimamizi wa CHADEMA wa eneo hili aende akaangalie kinachoendelea ktk kituo hiki ili ikiwezekana atoe malalamiko yake in writting. Hairuhusiwi watu wasiohusika - kuingia ndani ya kituo cha kupigia kura!! hao ccm wanruhusiwa vipi???
 
du tukiandika vituo hivyo chichiemu watatuma wachakachuaji mara moja jamani.......
 
Ubovu wa Watanzania. "Watakuja tu"!!!!!! Waje lini. Mambo ya kujipa mahope ovyoovyo. Kama hawapo, hawapo tu. Tuache uzezeta kujipa moyo hata kwenye mambo ya kipuuzi. Kama huna cha kuchangia kaa kimya. Watu tunataka mabadiliko, hatutaki mambo ya kishenzi, majibu mepessi kwa maswali magumu. Upuuzi mtupu.

Roho inauma ukiibiwa huku unaona lol .
 
Jamani tusiwalaumu mawakala wa chadema, wengi wamejitolea na inawezekana wamechelewa tu kwenye majukumu mengine. Ila katika kituo changu nimekuta mawakala wawili wa Chadema na yule wa CCM ndo alichelewa. Naomba badala ya kuanza jazba, tuwe pia mawakala wa Chadema kwa muda ambao tuko vituoni. Kama mkiona kuna chochote kisicho cha kawaida tumeni ujumbe LHRC pia mnaweza kuwapigia Chadema.
Asanteni wakuu kwa kuwa na uchungu na nchi yetu ila tuelekeze hasira zetu katika kura...
 
Nimefika kituoni saa 01:35. Dakika tano baadaye nikiwa kwenye foleni nikapata message toka kwa rafiki yangu kuwa amekuwa wa kwanza kituoni kwake kupiga kura na amekatishwa tamaa na wapinzani wote kwani wakala alikuwepo wa CCM tu.

Nyinyi reaction yenu ni kutuma huku JF. Mimi reaction yangu ya kwanza ilikuwa ku-forwdra message ile kwa wana-CHADEMA ninaowafahamu.

Nilidhani tenda ya mwaka huu wapinzani hawatataka kupteza point hata moja iliyo ndani ya uwezo wao.
 
Back
Top Bottom