Recent content by DrT

  1. D

    JamiiForums Tanzania Water Taxi? Wabongo tuna mambo

    Hapana,sio water tax,ni water taxi
  2. D

    JamiiForums Tanzania Kenyans Voted Ugliest in Africa

    Africa bana...kweli viongozi wetu ni zao la sisi wenyewe. "Miafrika ndivyo tulivyo". Nyani Ngabu
  3. D

    JamiiForums Tanzania Chanjo za watoto wachanga, kwa Afrika tu au Dunia nzima?

    Gazeti la mwananchi la majuzi/au juzi(sikumbuki vema) limeandika kwamba nusu ya wanaume nchini wana ugumba....ni utafiti wa daktari bingwa...nadhani ndo nukuu ya bibie FaizaFoxy.
  4. D

    JamiiForums Tanzania [request] adobe photoshop cs3 or cs2

    Imechakachuliwa siku miingi.
  5. D

    JamiiForums Tanzania Tanesco to buy Mtwara powerplant for $13.5m

    Ba! Tujiandae kwa umeme wa N'gao
  6. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania na Tanzania ni masikini pamoja na rasilimali (resources) tulizonazo?

    Mimi nawaheshimu sana wachagga,ni watu wanafanana na wa Asia katika kujitambua,ku enzi utamaduni wao,hardworking, determination,focused.Huwa nawatania kwa kuwaita wachina wa Tanzania.Pia huwa nasema kama wangepata busti kwenye viwanda vyao vidogovidgo tusingekuwa tuna import vitu kama vile viatu...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania na Tanzania ni masikini pamoja na rasilimali (resources) tulizonazo?

    Watanzania kwa ujumla wake hatujitambui,hatujui sisi ni nani,tunatofautiana vipi na watu wengine,tuna malengo gani,na tuyaendee vipi malengo yetu kwa mujibu wa uhalisia wetu. Even identical twins are not exactly the same,the same applies: asili yetu,nchi yetu,historia yetu,..haifanani na...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Deal Kubwa WANAJAMII FORUMS- Computers and electronics toka Marekani niagizeni

    Hakuna mapovu,ni katika kutangaza biashara,lazima ukweze bidhaa zako ili ionekane ina thamani. Tukija kwenye ubora wa bidhaa hizi za brands kubwakubwa/international,kampuni husika huwa inahakikisha ubora kabla hata haijakaguliwa na wengine,kwa sababu ushindani ni mkubwa,ikikutwa TOSHIBA,iPad...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Chanjo za watoto wachanga, kwa Afrika tu au Dunia nzima?

    Flu shot/vaccine
  10. D

    JamiiForums Tanzania Chanjo za watoto wachanga, kwa Afrika tu au Dunia nzima?

    Check hiyo clip,hiyo ilikuwa TEDtalks,unaweza kuisaka.
  11. D

    JamiiForums Tanzania Hivi " clown" kwa Kiswahili ni nini?

    mcheshi,chale,juha
  12. D

    JamiiForums Tanzania Am New Here

    That's kind of u, u r so humble. Thx
  13. D

    JamiiForums Tanzania Am New Here

    Shukran
  14. D

    JamiiForums Tanzania Ugaidi wa serikali ya Marekani.

    Wanalazimisha SOPA na PIPA ili ku censor info kama hizi, infact anti-piracy policy inshaanza kufanya kazi,itafika kipindi some one will be sued for having such news clips/materials hence no evidence.There's un-controllable increase in number of people getting to know the truth.
  15. D

    JamiiForums Tanzania Am New Here

    shukran sana wote
Back
Top Bottom