Ugaidi wa serikali ya Marekani.

Wamerika nouma.mafuta yamegunduliwa uganda .tayari askari wa marekani wapo eti wanamsaka konyi damn leo ndo wanafahamu kuhusu konyi.
Hawa jamaa mwaka 67 rais wao ford aliacha USS LIBERTY ipigwe na wayahudi ipatikane sababu ya kuwatwanga waarabu eti kuwa ndo wameishambulia THESE PUNKS ARE KILLER IN THE NAME OF MONEY.
 
Wanalazimisha SOPA na PIPA ili ku censor info kama hizi, infact anti-piracy policy inshaanza kufanya kazi,itafika kipindi some one will be sued for having such news clips/materials hence no evidence.There's un-controllable increase in number of people getting to know the truth.
 
tatizo hakuna wa kuthubutu kumwazibu mmarekani,ndio maana ana bases kila sehem ili hata kama ni vita itatokea,kama ita.involve nukes,yeye akuwahi mapema.
covert operations anazofanya ni nyingi

cheki hii

Secrets of the CIA - YouTube
 
Back
Top Bottom