Recent content by droney

  1. droney

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Si kweli, alichoandika mdau (RRONDO) kina mantiki sana. Kwa maelezo yako inaonesha kuwa gari yako uetoa thermostat ambalo ni hatari coz engine ya gari lako mda wote lina run rich (kitu ambacho kitachangia ulaji mwingi wa mafuta na kuua engine yako mapema). Kuhusu mwili, kutetemeka au kutoka...
  2. droney

    Ni nani aliyewahi kuuelewa muziki wa Michael Jackson?

    Plus: Dirty Diana... Hasahasa album nzima "Thriller" na "Bad". Hizo album mauzo yake hayajawahi kufikiwa hadi leo.. hasa Thriller ngoma zote kwenye album ni nyundo... enzi hizo unasikiliza side A unaenda side B unarudi side A mwendo kugeuza kanda... Masaa mawili ya hits.
  3. droney

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Racing is an interesting sports... hata Mimi ni fan sana wa MotoGP na F1, my favourite team ni Redbull Racing Team ila simpendi Verstappen kutokana na ubinafsi wake...
  4. droney

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    I second you.... Walioweka utaratibu wa don't drink and drive wanajua ... Ni hatari sana coz hata in case of accident or injury hutaweza tibiwa mpaka pombe itoke mwilini.
  5. droney

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Labda kwa gari ambayo ina turbo charger, Ila kwa gari za kawaida ni Bora kuizima since engine ina jipooza na kumaintain joto kupitia engine cooling system. Kama ushagundua ukipiga long trip afu ukasimama mara nyingi radiator inawasha the extra fan, ili kupoozesha engine, so hapo gari inatumia...
  6. droney

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Pole sana mkuu, ki ujumla mkoa wote wa Tanga (Kuanzia mkata mpaka mombo) usijaribu kuonja zile mbuzi choma, wengi wawo sio waaminifu, unaoneshwa nyama nzuri ila unayoletewa/kuandaliwa sio...
  7. droney

    Msaada wa fundi mzuri wa Nissan Dualis

    Ntaomba contacts zao mkuu...
  8. droney

    Maswali gani naweza kuyapata kwenye assignment ya TDR scholarship, MSc in Epidemiology?

    Jaribu kuangalia kwenye youtube aina ya maswali yanaoulizwa kwenye hizo assignment.
  9. droney

    Your Life Time Zone

    Someone graduated at the age of 22, but waited 5 years before securing a good job. Someone became a CEO at 25 , and died at 50. While another became a CEO at 50, and lived to 90 years. Someone is still single, while someone has got married. Obama retired at 55, but Trump started at 70...
  10. droney

    Hali ni Mbaya, Usijidanganye Ipo siku Utatoboa (Tafuta Mbadala au Rudi Kijijini)

    Life is not about waiting for the storm to pass, is about learning to dance in the rain.... Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom