Recent content by Drjacka92

  1. Drjacka92

    Nawezaje kuwa Usalama wa Taifa?

    Wakikuhitaji watakutafuta
  2. Drjacka92

    Mlinzi wa shule alinilaani, nami nimekuwa mlinzi

    Sijakulaani kijana japo uliniudhi sana sikuile. Mi bado nalinda apa shuleni kwenu. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Drjacka92

    Sisi Waafrica hatupo serious kabisa, yaani hadi leo Robert Mugabe hajazikwa!!!

    Kuna rais apo Congo amezikwa miaka miwili baada ya kufariki.
  4. Drjacka92

    Nyimbo za Jaguar huenda kufungiwa kupigwa nchini

    We unaona ni Jambo Dogo lakufumbia macho?? Nasisi tukisema tufukuze wakenya nchini Tanzania itakuwajee? Ameboronga Sana jamaa
  5. Drjacka92

    Nyimbo za Jaguar huenda kufungiwa kupigwa nchini

    Aahaa!! Kumbe Yule mshenzi anaetaka kuwafukuza watanzania Kenya.
  6. Drjacka92

    Nyimbo za Jaguar huenda kufungiwa kupigwa nchini

    Waombe radhi Kwa kipi walichofanyiwa??? Jaguar wanangu wa mnanda kutoka Moro au???.
  7. Drjacka92

    Salama Condom Mbona hazipo Madukani?

    Wafadhili labda wamekata msaada.
  8. Drjacka92

    Binafsi sijaielewa hii picha

    Mchicha Fungu mbili wenye thamani isiyozidi shipingi elfu moja, kitambulisho shingoni cha shilingi elfu ishirini.
  9. Drjacka92

    Miradi mikubwa ya mabilioni bila bajeti inaweza kutufikisha mahali ikatushinda kumalizia

    Machozi ya waliobomolewa bila kulipwa hayajadondoka bure. Tutakuja kufundisha Nguvu ya Roho zilizokunjika, unaweza usifanikiwe mpaka nafsi hizo zikunjuke.
  10. Drjacka92

    Hizi dawa za ARTs mbona zinanipa ndoto za kufakufa...!!!

    Uza Smartphone upate ela ya chakula.
  11. Drjacka92

    Wakazi wa Mtwara na Lindi, tupeni hali ya hewa na kile kinachojiri

    Nipo Lindi kwasasa, Hali ni Mawingu Mazito, Bahari imetulia kabisa, hakupa upepo kabisa na umeme umekatwa, Giza tuu.
  12. Drjacka92

    Safari channel imeanza kuharibu mambo

    Wamekazania kumuonesha Yule Kitukuu cha MKWAWA utadhani ndio historia pekee ya Tanzania. Nimeshaacha kutazama iyo channel. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom