Recent content by Dringia

  1. D

    Wataalamu wa Kuchoma mbuzi, Mnatumia njia gani kuifanya nyama kuwa Laini na Aina ya Viungo?

    Wakuu habarini za Mida, Nahitaji msaada kwa wale wataalamu wa kuchoma nyama ya mbuzi huwa inakua lain na yenye ladha. Naombeni tupeane maujuzi jinsi ya kuchoma na aina ya viungo vya kutumia. Nilijaribu kuchoma majuzi ikawa ngumu kama nini[emoji1787][emoji1787]
  2. D

    Wadau kitimoto nzuri napata wapi Dar?

    MIBS Sinza
  3. D

    JamiiForums Usiku wa manane

    Dah
  4. D

    Dar: Flyover ya Mfugale yazinduliwa. Chang'ombe na Gerezani kujengwa flyover, Barabara njia 8 kujengwa Kimara hadi Kibaha

    Bado kabisa ndo ipo kwenye hatua za mwanzo hata zege halijaanza kumwagwa
  5. D

    Je, ulianza ujenzi ukiwa katika hali gani kiuchumi/ kipato?

    Ulikuwa umetenga % ngap iende kwenye ujenzi mkuu na ilichukua muda gan kumalizika
  6. D

    Je, ulianza ujenzi ukiwa katika hali gani kiuchumi/ kipato?

    Hongera sana mkuu.. inahamasisha sana
  7. D

    Je, ulianza ujenzi ukiwa katika hali gani kiuchumi/ kipato?

    Habari za Muda Wana JF Kama Kichwa Kinavojieleza, kumekuwa na mjadala hususani kwa Vijana kuhusu suala la ujenzi, hali inayopelekea wengine kutafuta Pesa kwa njia zisizofaa hususani waajiriwa Wengi wanatamani kufikia maisha fulani kwa haraka baada tu ya kuajiriwa. Utakuta kijana kaajiriwa si...
  8. D

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Tokea corona ianze watu tunashinda ndani Sent using Jamii Forums mobile app
  9. D

    JamiiForums Usiku wa manane

    2:54 Sent using Jamii Forums mobile app
  10. D

    Nina tabia ya kukinai wanawake ninaokuwa nao katika mahusiano

    kyagata, Ni kwel kabisa mkuu, naona tuna case zinanzofanana. Kwa upande wangu mm huwa navutiwa sana na mwanamke lakin kabla sijampata, ila cha ajab nikishampata ile hamu huwa inaisha yoote namuona tu kawaida hata ham ya kukaa nae huwa inapotea kabisa sijui nina tatizo gani aisee,yani nina...
  11. D

    CISA Review class inaanza tarehe 09/03/2020

    Gharama ya mitihan n sh ngap,. Na je vp statistics za ufaulu wake Sent using Jamii Forums mobile app
  12. D

    Msaada: Naomba kujuzwa jinsi ya kuunganisha Bluetooth kutoka Star X Smart TV

    Habari wakuu, Kama kichwa kinavojieleza, naomba mwenye ujuzi anisaidie jinsi ya kuconnect bluetooth via STAR X smart tv. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom