Hivi mnaosema NK ni taifa masikini mshawai kufika huko NK? Na ni masikini mkilinganisha na taifa gani au umasikini wao hupo je? wa Tanzania kwa kuongea tupo vizur oooo wananchi wake wanateseka wanakufa njaa, , na sisi je?
Mkuu nijambo lililowazi kabisa, kwamba Baraka siyo sababu ya mafanikio ya mtu au watu mojakwamoja, bali kujituma na kujiongeza kwa mtu. kwa mfano unaweza ukawa unawasaidia wengine na wewe huku unajiongeza kwa kuongeza vyanzo vya kipato chako. Sasa tatizo liko wapi nikwamba unakuta mtu...
Nimeona mfano huo kwa baba yangu. Tangu tukiwa wadogo ndugu wengi walikuwa wakija pale nyumbani na kusaidiwa hadi ada za shule kwa wale waliokua wanasoma. Sasa imepita miaka mingi maisha yake ni yaleyale, wale waliosaidiwa wengi wapo kimya tena baadhi wako ulaya lakini hata kupiga simu kutoa...
Mkuu ww si shabiki wa muziki tena unadai umwelewi Diamond kivip ss? Utamwelewaje wakat ww si shabiki wa muziki? Halafu kwa mifano ulioitoa unaonekana ww ni muimba kwaya.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.