Recent content by dream high

  1. D

    JamiiForums Tanzania Mwanangu atasoma shule ya kata kama mimi tu

    Kila mmoja anafnya kitu kinachompa aman, kitu ambcho kwako hakina maana kwa wengne kina maana.
  2. D

    JamiiForums Tanzania Nafanyaje Kumkomoa Mrembo Huyu

    Nn faid yake?...mwanaume anae fanya jambo bila kutumia akil ni mzigo sana.
  3. D

    JamiiForums Tanzania Siwezi kucheza muziki, nifanyeje siku ya harusi yangu?

    kwan lazma kucheza mziki, mie hta cpendezwi na bibi harus anae jichetua sanaa.
  4. D

    JamiiForums Tanzania Homemade shower gel

    Habari za wakati huu wanajanvi. Nimekuwa mwenye shauku ya kutaka kujua jinsi ya kutengeneza shower gel. Mwenye elimu jinsi ya utengenezaji wa shower gel, nipe maelekezo.
  5. D

    JamiiForums Tanzania DATING: Ndani ya wiki 1 (Sex, mizinga ya kutosha)

    sasa wanyamwez wanahusikaje hapoo mkuu...wewe ndo ulie kosea kufanya chaguo afu unakimbilia kulaumu kabila
  6. D

    JamiiForums Tanzania Mitihani ya maisha

    pole sana mkuu, cha msingi angalia maisha yko tu..bila kujal ndugu au watu wanakuchuliaje. daima usitegemee mazur kutoka kwa binadamu hutaishia kuumia kila siku
  7. D

    JamiiForums Tanzania Hivi Laana ni nini?

    naomba kujuzwa kuna gud karma na bad karma.
  8. D

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu ananidekeza kinoma Mazee!

    hii kaul umekumbusha mbal sana
  9. D

    JamiiForums Tanzania Mke wa pili anahitajika

    nmechekaaa saaa sifa ya 6
  10. D

    JamiiForums Tanzania Nahisi wazungu wanaushirikina kwa mapenzi yao kwa michoro na vitu vya kale

    Ngoja nikae siti ya mbelee.....
  11. D

    JamiiForums Tanzania Wanaume tupunguze kujirahisisha kingono

    Mwanaume wa kwel hapimwi kwa idad ya wanawake alofnya nao ngono....badliken wanaume
  12. D

    JamiiForums Tanzania Msaada: mpenzi wangu hajui mapenzi nifanyaje ?

    [emoji1] [emoji1] wanaume wa cku hiz bwanaa eeet maumivu ya mapenz, hiv mkuu ushawah patwa na maumiv ya mapenz kwel.
  13. D

    JamiiForums Tanzania Kwa hili alilosema babu kumbe kuna mengi tunakosea sana kwa wanawake wa siku hizi.na ndo chanzo cha kutokuheshimika

    vitendea kaz vya kumtolea binti bikraa lazma kuwe na rungu bila kusahau mlenda[emoji1] [emoji1] [emoji1]
  14. D

    JamiiForums Tanzania Wanawake na Magari!

    kila mwanamke ana hulka yake..uc jumuishe wanawake wote
  15. D

    JamiiForums Tanzania Ishi tofauti hata kama mazingira yaweje!

    ujumbe murua.
Back
Top Bottom