Wanaume tupunguze kujirahisisha kingono

Wanaume tupunguze kujirahisisha kingono

Hii ajenda yako sio sawa utakuwa una shida kidogo wewe sulemani alikuwa na wanawake wa ndoa 600 vimada 400 aliwahudumia wote sawa sisi tunakuwa na wawili au watatu kuwa na mwanamke mmoja ni udhaifu mkubwa usifanye hivyo mkuu hata heshima kwa mke inapungua
Matokeo yake yalikuwa nini?
 
Unadhanii tunapendaa bhasiii...!! Shidaa VIZINGAAAA mnavyotupigaa jamanii... Sasa inabdi tutangetange kutafuta ambae kidogo mwenye utu na upendowa kweli...haangalii pesaaa
 
Mi sijui nikoje.... Yaani sipendi kabisa mademu...! Yaani kama wamo humu wanijaribu!
 
Jitolee kuiaminisha jamii mwanamke anayetembea na wanaume wengi wamtizame sawa na mwanamme anayetembea na wanawake wengi. Unaweza kufanikiwa.

Naomba kuuliza, hivi kila mwanaume akiwa na mwanamke mmoja watakaobaki itakuaje?
Mbona wangu hajawahi kuchepuka.
 
Hiii kitu hiii Hiii kitu hiii..[emoji97][emoji443][emoji450][emoji448][emoji449][emoji447] kwasauti ya marehemu john walker
 
Unakuta mwanaume amepigania maisha Mungu kamjalia si haba lakini anajiingiza Kwenye hatari Za maisha kwa uzinzi na uasherati [emoji108]
Unawezaje kumwamini Mtu hadi ukajihatarisha utu wako kwa kulala na ke ambae siyo mkeo?[emoji87]
 
Halafu siku hizi wale ambao wamesha jijua wanao huwa wanaparamia wanawake/wanaume ili kuwaambukiza, sasa badala ya kushitukia eti wengine wanajiona wenye Bahati ya kupendwa [emoji87][emoji87][emoji87]
Jehova twakuomba uzidi kutunusuru watoto wako !
Yatuepuke Baba!
 
Waaaaambiiiieee Unakuta mwanaume Ana kibolo kama chá lemutuz lakini anaongoza kufungulia wanawake zipu mjionee aibu jaman hivyo vidude vyenu sio kila mtu mumuoneshe
 
Mfano ungekuwa ni wewe mtoa mada unaponyokaje hapa?
899ec9110e6b1a9681b5dd3a10aab75c.jpg
 
Nilifikiri unasema tuwagomee kabisa ili papuchi zao zitaabike kama tunavyotaabika wanapotudengulia
Kwa njia hiyo watatutoa roho aisee...
Hawajui kustahimili kama sisi
 
Back
Top Bottom