Uko sahihi kuogopa hivyo, na mimi mwenyewe sipendi madawa meengi.
Lakini hizo dawa nilizoweka kwa hizo dozi, hazina matatizo yeyote, kwa zilishapimwa na kufanyiwa utafiti kwa miaka mingi. Pili, kwa lugha za mtaani waganga wengi wa jadi hisema kwamba dawa za hospitali zina madhara, ila hii ni...
Mimi ni daktari bingwa wa magonjwa ya ndani na pia ni mkufunzi wa kitaifa wa magonjwa ya mlipuko ikiwapo COVID. Na nimekuwa nikitibu wagonjwa wengi wa COVID toka huu ugonjwa uje nchini kwetu na ningependa kuwapa ushauri ufuatao.
Naamini unafahamu dalili za ugonjwa huu kwakuwa zimetangazwa sana...
Ulichoandika ni uongo mtupu.
Nimeshuhudia watu wakifa wengi katika taaluma yangu na sijawahi kuona mtu akitoa manii au mkojo au vyote ulivyoandika hapo.
Kutoka uchafu kama kinyesi n.k. inategemea na aina au sababu ya kifo. M.f. mtu akifa huku amekandamizwa au kuumizwa eneo la chizi la ubongo...
Wanaitwa Doberman Pinscher. Huwa na mikia mirefu lakini inakatwa kwa sababu za fashion tu au muonekano lakini wataalam wengi wanapinga kwani haina faida.
Kuna muda ukifika tuwe tunakubali kuwa tumechemka.
Cement ndio nyenzo muhimu ya ujenzi. Tunataka watu wajenge viwanda halafu tunaua kiwanda cha cement cha bei nafuu. Halafu na kwavile hatupendi kujishusha tunajifanya eti "sizitaki mbichi hizi".
Baada ya Dangote kuondoka mtasema mengi sana...
Aidha umetumwa kutetea ujinga kwa sababu za kisiasa au ni kweli una upeo mdogo.
Kabla ya hiko kiwanda bei ya cement ilikuwa shilingi ngapi mtaani?
Unajua Dangote alitaka kuuza sh5000 lakini akazuiliwa...
Hao watanzania 1000 wanaolipwa 120000, walikuwa wanalipwa shilingi ngapi kabla ya kiwanda...
Kwa haraka una dalili kama za UTI lakini inaweza ikawa inepanda juu kusababisha Cystitis (maambukizi katika kibofu). Japokuwa pia kuna magonjwa mengine zaidi ya hayo yanayoweza kuleta hali kama hiyo pia including Cancer, lakini tusiombee hayo.
Unahitaji kwenda hospitali kubwa iliyo karibu yako...
Medically, usipofanya masterbation for 40 days huku unakula vizuri na kufanya mazoezi unakuwa umepona kabisa madhara yote uliyojitengenezea.
40 days guys! Sio nyingi sana.
Mwandishi wa hii makala una upeo mdogo sana. Pole sana. Nakushauri utumie upeo finyu ilio nao katika kuwasaidia wazanzibari kufanya kazi na bidii katika elimu ili kuondokana na umasikini walionao badala ya kusukuma lawama zote kwa Mzee wetu ambaye tunamjua na kumuheshimu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.